Yaani huyu Mamndenyi huyu!

Yaani huyu Mamndenyi huyu!

heheheheheheiyaaaaaaaaa haya shostito Mamndenyi njoo huku ujioneee
kwikwikwikwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiii
wewe mandenyi wewe, hivi unaujua unautesa sana moyo wangu?
Hivi unajua kama nakupenda sana?
Unajua post zako ni za kiutu uzima sana?
sasa kwanini hufanyi yafuatayao
1. Hutaki kuelewa kama nakupenda sana
2. hujawahi kunipa like hata moja
3. hujawahi kata ku quote post yangu hata moja
4 hujawahi kuniomba friendship
5. hujawahi kuni tag
6. hujawahi kuni mensheni kwenye post yako
7. hujawahi kunitumia PM hata moja

yaani hujawahi kunifanyia kitu
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi huwa wanakudondokea halafu inakuwa kimya...
hivi huwa mnamalizaje?
 
Last edited by a moderator:
Mlachake naona kama leo unataka ule chako, yaani chako mwenyewe,
ok vyote nitakupa ila kwa awamu awamu, au unasemaje?

Ambuya necha mleu kuore wandu waisambasa dengue waimba wakundi mndu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom