Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,472
- 4,723
Wewe mandenyi wewe, hivi unaujua unautesa sana moyo wangu? Hivi unajua kama nakupenda sana? Unajua post zako ni za kiutu uzima sana?
sasa kwanini hufanyi yafuatayao
1. Hutaki kuelewa kama nakupenda sana
2. hujawahi kunipa like hata moja
3. hujawahi kata ku quote post yangu hata moja
4 hujawahi kuniomba friendship
5. hujawahi kuni tag
6. hujawahi kuni mensheni kwenye post yako
7. hujawahi kunitumia PM hata moja
yaani hujawahi kunifanyia kitu
sasa kwanini hufanyi yafuatayao
1. Hutaki kuelewa kama nakupenda sana
2. hujawahi kunipa like hata moja
3. hujawahi kata ku quote post yangu hata moja
4 hujawahi kuniomba friendship
5. hujawahi kuni tag
6. hujawahi kuni mensheni kwenye post yako
7. hujawahi kunitumia PM hata moja
yaani hujawahi kunifanyia kitu