de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 12,990
- 25,573
Ndugu zangu.
Niseme wazi leo kuwa huu ni waraka wangu wa mwisho na nikikataliwa itakuwa mwisho wa kushusha nyuzi kwa walimbwende wa humu.
Toka naingia jamvini mnamo 2021 nilitokea kumwelewa Binti kiziwi infact ilikuwa a strong crush ambayo kwa level zake ningeonekana mshamba kumwandikia uzi.
Nilikuwa young and naive na sikuwa na sauti hiyo humu jukwaani kumtokea,
Basi nili endelea kula kwa macho na kumimagine ndani ya akili yangu namna ya kumpata huyu mwanamke smart kabisa. Nilikazana sana kusoma lakini pia nilijua kwa jinsi nilivyo smart one day yes Nita pata kuzoeana nae na mwisho kuweka nia yangu kwake kuwa nimetoka kumpenda kwa dhati sana.
Basi siku ziliendelea kusonga, na niliendelea ku advance na mwishoni kufikia hatua ya mindset moja na mlimbende huyu wa JF. Binafsi mimi ni mtu ambae napenda challenge na ni nikiamua kitu lazima kitimie maana nitafanya kila niwezalo mpaka nifikie manifestation kwenye 3D world.
Ewe binti kiziwi unajua fika kabisa how nimekuwa nikikuambia kuwa ni nakupenda, nimekuwa kweli kwako toka day one sikuwahi kuonesha mzaha juu ya hili, sikuwahi kukuongopea na kufanya trouble juu yako maana na fahamu potential yako ewe first crush wangu.
Ewe binti kiziwi umefika ule muda wa mimi kutake risk ili niweze kuwin moyo wako, ni muda mwafaka wa mimi kukuelezea hisia zangu za dhati juu ya kukupenda toka naingia humu mwaka 2021. Umekuwa mstari wa Mbele kuona ukweli wangu na ku align na maandiko yangu maana wewe ego yako haina jeuri kama wanawake wengine. Wewe ni mtu safi kabisa from the inside out. Hakuna mwanamke wa kukupiku kabisa hili naliweka wazi jukwaani (tena Nime bold?
Nataka niweke wazi kwa jukwaa zima kiujumla watu wote niliokuwa nawaandikia nyuzi nilikuwa nafanya mizaha tu, ila kwako niko very serious na ndo maana nikasema hili ni bandiko langu la mwisho maana hata mizaha yenyewe nimeacha kwa ajili yako mrembo.
Wanabodi wanicheke na kuni dharau sawa tu, sioni haja ya kuficha hisia zangu juu yako wewe binti kiziwi nimeshafikia level za kuwa karibu yako sasa. Hakuna haja ya kuwaza na kupata doubts tena maana tunajuana na tumeivana haswa haswa.
My love for you has never seased, and I will do everything to win you my little secrete. 🌹