Last edited by a moderator:
Ukiwa hai..? Mhh mahaba haya lol..
Mamndenyi ukichoka utauchosa moyo wangu; tulia utulizane ule zambarau kwa kituo.Waooo,
Nimependa sana hii,
Umeniona katika kuchoka na kukata tamaa kwangu.
Hapana safari zimezidi,
hapa naona kila aina ya mchepuo/ko
chama unasema..? Ati Bujibuji ana homa za vipindi na dawa hazikubali..? Mhhh wantia presha hapa ujue.. Paloma hebu ukuje tukaangalie afya zetu Angaza kule.. Yale mambo ya mtaroni hayajanitoka mawazoni lol..Chama kasimama njia kuu usiwe na wasiwasi; unajua tena wanasiasa tupo kila sehemu. Michepuko imefanya Bujibuji kalikimbia jukwaa nasikia ana vijihoma vya hapa na pale ametumia mseto lakini hapati nafuu
Haya bwana, chama wewe ni mwanasiasa NGULI zaidi ya jina lako hamna kingine chochote ulichowahi kuongea ambacho ni cha ukweliChama kasimama njia kuu usiwe na wasiwasi; unajua tena wanasiasa tupo kila sehemu. Michepuko imefanya Bujibuji kalikimbia jukwaa nasikia ana vijihoma vya hapa na pale ametumia mseto lakini hapati nafuu
Bujibuji anaonekana sana Muhimbili kufuatilia afya yake dawa hazijampa unafuu nasikia anawasiliana na Arushaone ampeleke Loliondo kwa babu.
chama, mbona nasikia wewe umeutoroka msafara wa Kinana na umeenda Samunge kula kikombe?
chama, mbona nasikia wewe umeutoroka msafara wa Kinana na umeenda Samunge kula kikombe?
si bora ungeaga tu, wote tunakuombea uponywe matatizo yako ya mwezi mchanga
you cant be serious? Bujibuji ni mdada?????????