Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,739
Ina maana anatafuta heater?
Unampenda kweli au ni hiki kibaridi cha June?
Unampenda kweli au ni hiki kibaridi cha June?
Sipendi kuongopa tangia hii hali ianze nishawapenda wengi aisee
Ina maana anatafuta heater?
Nimekuja nipo hapa nashangaa tena anaangalia kando hasemi kitu.
Ina maana anatafuta heater?
Anatamani hilo kota lako huko nyuma si unajuwa wewe mtu mzima kidogo
Kuoga na kujipanga unajuwa sasa kijana yeye analia tu
Mvute shart ingia naye utuletee mrejesho hapa
Uliza swali....
Unampenda kweli au ni hiki kibaridi cha June?
hapo kwenye nyekundu unazidi kunichanganya mammy wangu
yaani ingekua enzi zile ningesema nikinywa maji namuona kwenye glass
kuna mtu ka hack account yako anasema ana shanga