Yaani huyu Mamndenyi huyu!

Yaani huyu Mamndenyi huyu!

Mlachake mbona mie naguswa na watu tofauti tofauti kila siku! hata Kaizer naye huwa anagusa sana watu bana

Kama mume halalali.sinakuelewa...unaguswaje guswaje mwanamke wa mtu? Hebu kwanza waorodheshe wanaokugusa apa....
 
Last edited by a moderator:
kwani kumgusa mtu nikosa jamen? mbona huwa nasalimiana na watu wengi tu kwa kuwagusa?
Kama mume halalali.sinakuelewa...unaguswaje guswaje mwanamke wa mtu? Hebu kwanza waorodheshe wanaokugusa apa....
 
Umeona eeh,
si unajua tena penye riziki hapakosi majungu.

haa haa binadamu hapendi mwenzie apate jameni, sijui tumeumbwaje. ndio hivyo sasa ushapendwa labda sasa wakakutangaze tu.
 
Duu jamaa kapata zali,yani mtongozo simple uliokaa kimalalamiko kitu toa!!!

Me nilijipendekeza kwa DEMBA kwny uzi wa mwanamke kumtongoza mwanaume but hoolaaaa,mweeee sie wengine tuna gundu.
 
Duu jamaa kapata zali,yani mtongozo simple uliokaa kimalalamiko kitu toa!!!

Me nilijipendekeza kwa DEMBA kwny uzi wa mwanamke kumtongoza mwanaume but hoolaaaa,mweeee sie wengine tuna gundu.
haa hhaa haaa bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi weye. utaingiliwa na majambazi.
 
Duu jamaa kapata zali,yani mtongozo simple uliokaa kimalalamiko kitu toa!!!

Me nilijipendekeza kwa DEMBA kwny uzi wa mwanamke kumtongoza mwanaume but hoolaaaa,mweeee sie wengine tuna gundu.
DEMBA is occupied by Excel no I mean Kaizer so myfriend try gorgeousmimi as she is single but vivian will chop your money.
 
Last edited by a moderator:
wewe mandenyi wewe, hivi unaujua unautesa sana moyo wangu?
Hivi unajua kama nakupenda sana?
Unajua post zako ni za kiutu uzima sana?
sasa kwanini hufanyi yafuatayao
1. Hutaki kuelewa kama nakupenda sana
2. hujawahi kunipa like hata moja
3. hujawahi kata ku quote post yangu hata moja
4 hujawahi kuniomba friendship
5. hujawahi kuni tag
6. hujawahi kuni mensheni kwenye post yako
7. hujawahi kunitumia PM hata moja

yaani hujawahi kunifanyia kitu

Mueleze mapema mimi yamenikuta kwa kukaa kimya nikingojea Siku nimueleze huyu Miss Chagga ambaye aliugeuza moyo wangu pickup ya kubebea mawazo takriban miezi mitano sasa!
 
Last edited by a moderator:
Eti gorgeousmimi haya ayaongeayo mkuu hapo ng kweli? na vivian ni pesa pesa pesaaaaa!
 
Back
Top Bottom