Yaani huyu Mamndenyi huyu!

Yaani huyu Mamndenyi huyu!

sosoliso hivi chama toka anitelekeze ni leo?
Mamndenyi
Nikutelekeze wapi la azizi kuna kinuka mkoja kanisababisha ban; naugua moyo nisiposikia sauti yako yenye ndirimo na madaha kebekebe; usikonde kimwana wangu nipo na wewe takotako begabega hadi kieleweke. sosoliso hana jipya mkaanga sumu na mwaka sumu atakunywa mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Uko wapi si unaona niko hapa mida hii nakungojea chini ya nguzo ya umeme hapa posta ya zamani.
Mamndenyi

michepuko?? shauri yako; kwa usalama wa afya yako simama njia kuu ambayo ni mimi chama
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmh, twende pole pole,
mwenzangu niambie ulikuwa wapi,
toka mazishi ya yule mzee wa hukooo bondeni
ulihamia wapi?

Naanzia hapo hapo.

Mamndenyi
nyege zamsumbua mwambie apige mkono amalize haja zake vipimo mgogoro.
 
Ha ha haaaa
unanifanya nicheke ujue nina hasira sana, haya we!
Mamndenyi
Nikutelekeze wapi la azizi kuna kinuka mkoja kanisababisha ban; naugua moyo nisiposikia sauti yako yenye ndirimo na madaha kebekebe; usikonde kimwana wangu nipo na wewe takotako begabega hadi kieleweke. sosoliso hana jipya mkaanga sumu na mwaka sumu atakunywa mwenyewe.
 
Kuna madai hapa ati chama alichepuka njia ya matope huko Dodoma ukanasa.. Mpaka nduguzo wakaja na dawa ya gubete ili kukunasua urudi njia kuu ( Mamndenyi )...

ahahaaa sosoliso twende kwenye vipimo tuone nani mgogoro; mambo ya michepuko ni yenu nyie wakamata vidagaa coco beach; Chama amesimama njia kuu.
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmh, twende pole pole,
mwenzangu niambie ulikuwa wapi,
toka mazishi ya yule mzee wa hukooo bondeni
ulihamia wapi?

Naanzia hapo hapo.

msiba mkubwa ule tambiko lake lake balaa zama zile chifu anafukiwa na mtu hivi tunafunikafunika na ng`ombe mizimu bado haijakubali; usikonde kama vipi uje tumalizie tanga pamoja
 
ahahaaa sosoliso twende kwenye vipimo tuone nani mgogoro; mambo ya michepuko ni yenu nyie wakamata vidagaa coco beach; Chama amesimama njia kuu.

Ha ha ha ha.. aiseee chama nitake radhi.. Mie nina mke halali kabisa na ananipenda sana.. Hao vidagaa nimewaachia wahuni.. Niko na Paloma kufa na kuzikana..
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa
Unataka nije mnifanye tambiko,
Utanikuta hapa hapa home.

msiba mkubwa ule tambiko lake lake balaa zama zile chifu anafukiwa na mtu hivi tunafunikafunika na ng`ombe mizimu bado haijakubali; usikonde kama vipi uje tumalizie tanga pamoja
 
Ha ha ha ha.. aiseee chama nitake radhi.. Mie nina mke halali kabisa na ananipenda sana.. Hao vidagaa nimewaachia wahuni.. Niko na Paloma kufa na kuzikana..

ahaaa sosoliso michepuko tabia unakumbuka babu yetu alikuwa na mke na bado alichepuka kiaina hadi akapotea kwenye njia kuu?? Nakushauri wewe kamata njia kuu Paloma vile vidagaa vya Coco beach ni hatari kwa afya ya mlaji.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom