XMas & Year 2008: KILA LA KHERI ** ALL THE BEST!!

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,241
****************
*******
****
**​
Nawatakia Watanzania Wote na Wasomaji Wa JamboForums.Com Duniani Pote:​

seizure4jfa1.gif
seizure4jfa2.gif


seizure4jfa3.gif
seizure4jfa4.gif
SteveD.
 
[media]http://www.youtube.com/watch?v=Ywg3SB-2vcU&feature=related[/media]


So this is Christmas
And what have you done
Another year is over
A new one just begun
And so this is Christmas
I hope you have fun
The near and the dear ones
The old and the young

A very merry Christmas
And a happy New Year
Let's hope it's a good one
Without any fear

And so this is Christmas
For weak and for strong
For rich and the poor ones
The war is so long
And so happy Christmas
For black and for white
For yellow and red ones
Let's stop all the fight

A very merry Christmas
And a happy New Year
Let's hope it's a good one
Without any fear

And so this is Christmas
And what have we done
Another year is over
A new one just begun
And so happy Christmas
We hope you have fun
The near and the dear ones
The old and the young

A very merry Christmas
And a happy New Year
Let's hope it's a good one
Without any fear And so this is Christmas
And what have we done
Another year is over
A new one just begun
 
Bonyeza kusikiliza..

[media]http://www.youtube.com/watch?v=JFl-s63OfKg[/media]


SteveD.
 
Napenda kutuma salamu kwa Watanzania wote duniani katika kusherekea krismasi na ujio wa mwaka mpya 2008.

Vilevile napenda kutoa shukrani zangu zote kwa wanahudhuria wote JF na kule ‘JF VILLE’:D “Where we Dare to Talk Openly” ‘Kula Breki’

Maadhimio yangu ya mwaka 2008 ni Amani, Uzalendo, na Libeneke tayari kwa Focus 2010! kwa mpangilio huo.

Mungu Ibariki Afrika! Mungu Ibariki Tanzania!
 
I WOULD LIKE TO TAKE THIS OPPORTUNITY TO WISH ALL TANZANIANS ON THIS PLANET A MERRY X-MAS AND A HAPPY NEW YEAR OF 2008.

MERRY X-MAS AND HAPPY NEW YEAR.
 
Sikukuu ya Krismas, yaani tarehe 25 December, husherehekewa duniani kote kama kumbukumbu ya siku aliyozaliwa Yesu Kristo. Watu wengi hudhani kuwa Yesu alizaliwa siku hiyo, lakini ukweli ni kuwa hakuna anayejua siku kamili ya kuzaliwa kwa Yesu. Jambo la muhimu lijulikanalo kuhusu December 25 ni kuwa ni siku ambayo iko katikati ya kipindi cha winter kwa nchi za kaskazini. Siku hii ya katikati ya winter ilikuwa inasherehekewa kwa njia mbalimbali na watu wa zamani wa ulaya ambao walikuwa wakiabudu miungu "wadogo wadogo" mbalimbali. Watu hao baadaye walikuja julikana kama "wapagani" baada ukristu kuanza kuingia. Walikuwa na sababu mbali mbali za kusherehekea siku hiyo. Kwa mfano, wajerumani walikuwa wakiamini kuwa Mungu wao aliyejulikana kama Oden alikuwa akipaa angani siku hiyo na kuamua nani wa kusaidia aendelee na nani wa kuteketezwa. Sasa kwa vile hakuna aliyejua uamuzi wa mungu huyu, waliogopa wasijechaguliwa kuangamizwa. Kwa hiyo walijificha kwa kukaa ndani siku yote wakinywa pombe bila kutoka nje wasije wakaonekana na huyu "mungu" Oden na kuamuliwa kuangamizwa.

Roma nako walikuwa na sababu zao tofauti za kusherehekea siku hiyo, mojawapo ikiwa ni kuwaenzi watoto, kama ambavyo leo siku hii inaonekana kama siku ya watoto. Kulikuwa na sababu nyingine mbalimbali za kinajimu kama vile kuangalia nafasi ilipo sayari kubwa ya Saturn ambayo ndiyo iliyokuwa Mungu wao wa Kilimo.

Baada ya ukiristu kuingia sehemu za ulaya, Krismas ilionekana kama ni siku ya kishetani tu. Sikukuu ya kidini ilikuwa ni moja tu: pasaka, yaani siku ya kifo cha yesu kwa vile hiki kilikuwa kinajulikana kuwa kilitokea siku ya Ijumaa na akafufuka siku ya Jumapili. Hata hivyo kunako karne ya nne, viongozi wa kanisa waliamua kuienzi siku ya kuzaliwa Yesu, lakini wakawa hawajui alizaliwa lini kwa vile haikuandikwa kabisa kwenye biblia. Papa Julius wa Kwanza ndiye aliyechagua siku hii ya December 25 ili kusudi imeze na kumaliza zile sherehe za kipagani zilizokuwepo Ulaya. Ilianza ikiwa inajulikana kama "the Feast of the Nativity." Siku hii haina uhusinao kabisa na siku halisi ya kuzaliwa kwa yesu kwa vile yesu hakuzaliwa katikati ya winter. Ushahidi uliopo unaonyesha kuwa yesu alizaliwa wakati wa Spring, ndiyo maana wachungaji walikuwa wakichunga kondoo. Katikati ya winter kusingekuwa na wanachunga kodooo wale.


NAWATAKIENI WANAKIJIWE WOTE FURAHA YA SIKU YA KRISMAS NA HERI YA MWAKA MPYA WA 2008. TUTUMIE MUDA HUU WA SHEREHE KUTAFAKARI MABAYA NA MAZURI TULIYOFANYA MWAKA 2007 KUSUDI TUENDELEZE MAZURI NA KUREKEBISHA MABAYA YETU KATIKA MWAKA MPYA WA 2008.
 
Sikukuu, njema wote, Mungu awatangulie katika shughuli zenu kwa mwaka 2008, kikubwa zaidi,'Nyani tumkome' na Taifa letu hakika likombolewe kwenye mikono ya MAFISADI
 
Napokea salamu zenu wote hapo juu, na kuwarudishia mara tatu ya hizi.
Nami niwatakie heri na mafanikio ya mwaka ujao 2008.
Tuendele kumkoma Nyani mchan kweupe.
JF Daima
Merry Christmas.
 
nawatakia wote sikukuu njema na mwaka 2008 wenye baraka tele.
naomba mwaka 2008 uwe mwaka ambao tutashuhudia mafisadi wote
wanaoangamiza taifa letu wakipelekwa mbele ya vyombo vya sheria na kupata adhabu zinazowasthili. amen
 
GOD PLEASE! BLESS (JF MEMBERS) happiness to increse like fuel prices in TZ and their worries fall like number of votes to the opposition blocks in TZ, so that their desires be fulfilled massively like Kikwete's trips abroad and their problems vanish like TANESCO's electricity.

I WISH U ALL A HAPPY & PROSPEROUS CHRISTMAS SEASON AND NEW YEAR '08
 
****************
*******
****
**​
Nawatakia Watanzania Wote na Wasomaji Wa JamboForums.Com Duniani Pote:​

seizure4jfa1.gif
seizure4jfa2.gif


seizure4jfa3.gif
seizure4jfa4.gif
Listen to Boney M as you celebrate....

[media]http://www.youtube.com/watch?v=7BVtzu59feY[/media]

SteveD.
 
This one takes it all!

Great song for New Year!

[media]http://www.youtube.com/watch?v=dcLMH8pwusw[/media]

SteveD.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom