mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,667
- 3,455
Hello,
Wakuu wote humu ndani poleni na harakati za kusaka ngawila kwa wale wenye changamoto zozote zile basi nawatakia kila la kheri na mkono wa bwana uwe juu yenu!!
Tushuke sasa katika Mada, Hivi kwanini watu wengi hawapendi kufanya kazi Halmashauri yaan katkka idara yoyote ile waliowengi hawpendi kuwepo kule, Kwa waliokuwa hawajui chochote huwa na furaha sana wakipata ajira ila wakishafika huko wengi huwa na mawazo malalamiko na wengi hupambana kuhama huko sababu hasa ni nini!??
Maana kama ni salary mbona sio tofauti kubwa sana kwa baadhi ya kada kama ipo basi mnaweza kushare hapa tukajifunza kwa maslahi mapana ya wasomaji humu ndani!!!