With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

Kupendwa ndio kupendwa kuheshimiwaaa

Sio wewe zumbukuku kutwa kiguu na njiaaaa

Na bishanga kakutosa utalijua jiji

Erickb52,
Asante kwa salamu zako za shukrani,
Najua kilichokukimbiza cc ni pale ulipofumaniwa na Nicas Mtei,
Karibu hayo tutayaweka sawa.

Pia kwenye jina langu hapo juu naomba uweke mpaka ili
niweze kuwa mbali kidogo na Bishanga, hii ni kwa ajili ya
usalama wangu; ......mkewe wa 10 .... Kongosho
amenitishia maisha.

Enjoy your day mwaya.
 
jamani jamani jamani umekuwa hivyo ndugu yetu Erickb52 yaani wewe unataka mtoto akizaliwa aitwe nani kama unataka kutuletea uchuro ndani ya familia yetu ushindwe na ulegeee kabisa

cousin, halafu ndio uliniambia nimchukue Erickb52 anisaidie kazi,,,,,,, kweli kwa style hii kazi zitafanyika kweli?????
 
Last edited by a moderator:
huyu hakufai kabisa kwani ataharibu ndoa yako bure achana naye nitamtafuta mwingine ambaye ni ndugu wa mbali kwenye ukoo wetu naye ni Mr Rocky sijui kama naye atakuwa kama huyo nadhani atakufaa ila mchunguze ujue undani wake
cousin, halafu ndio uliniambia nimchukue Erickb52 anisaidie kazi,,,,,,, kweli kwa style hii kazi zitafanyika kweli?????
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom