With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

Bishanga alitaka anisajili kwenye kundi lake
lakini mke mmoja akashtukia dili akaja juu.

Hata hivyo kwa sasa yupo ambaye jina siwezi kulitaja
hata ukinipa gunia la dollari.

Hawa wengine hapa chini siyo waowaji ni wachafuzi wa
mazingira tu;

alafu unitake radhi, talaka chache hivyo ndo unanisimanga nazo;
heeee,

Hahahahaaa kwani Bishanga kakumwaga tena?
Nilikuambia angalia watu wa kupenda lol
Ila we kwa tarala unaongoza maana hukamatiki...mara kwa Vin Diesel mara Mr Rocky mara Arushaone khaaa then umeangukia kwa Bishanga kweli hujipendi Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena
Dear sweetlady
Ninaomba kukushukuru sana kwa kunitakia heri katika siku yangu hii ya kuzaliwa...Pokea thanks zangu!
Sina la kusema...ila umenifanya nirudi kundini kwangu (Chitchat) coz ni miezi kadhaa sasa tangu niwe nje ya jukwaa.
Thanks for your love and care.
Nichukue fursa hii kuwashukuru wanaJF wote toka maujukwaa yote bila kuwasahau mods wote Invisible , Paw , Moderator na wenzao.

Niliwamiss sana wapendwa The Boss thanks sana, watu8 Baba V mimisa Paloma sosoliso PakaJimmy TANMO Heaven to earth babaa Arushaone shem shansarie na mumewe kiwatengu Arabela YNNAH Mamaa KOKUTONA Mamndenyi Bishanga (Miss you mkuu) Slave , Lisa snowhite Blaki Womani (Miss you sister) Filipo Mungi marejesho LiverpoolFC Mr Rocky (Tukutane Meatu tukagawane watoto wetu) ladyfurahia (Sister Upooo?) Nivea (Hajambo KakaKiiza ?) Mrembo by Nature (Miss you), Mentor (Wapi dada yako beibe nasty ?) Block City KakaKiiza (Thanks bro), Lady doctor (Miss kiwowowo) bila kumsahau Preta na mumewe mtu chake Madame B (LongTime mdada) Nicas Mtei(??) charminglady na Elizabeth Dominic (Nawamiss sana jamani) Vin Diesel ???.
Duh ni wengi sana....jamani nawashukuru wote na niliwakumbuka sana hasa The secretary (Salamu kwa mtoto).
Dada zangu Fixed Point Roulette na AshaDii nawamiss sana.
Pia ninawashukuru sana wake zangu kwa mapenzi yao ya dhati kwangu....Asante sana Amyner (Miss you) Chocs (You are ma number 1), Kipipi (Mwaaaaah) Remmy (Thanks for caring).
sweetlady thanks a lot kwako na kwa mumeo nitonye ....!
Bishanga tuonane baadae.
 
Mara FP, Mara Preta, Mara..........
Yaani haka kajamaa ni hatari kweli kweli Mkuu...
Hahahaaha TANMO siku hizi FP anajiita Fixed Point kama zamaniiiiiiiii
Halafu nilikuachia wewe ila nawewe ulivyo mzigo ukatoswa mazima hahahaaa umebaki kuniletea majungu tu huna lolote
Mara Preta mara Fixed Point mara nanii khaaaa
 
Last edited by a moderator:
sema tu skrepa
waulize wakeze
ndo useme hayo maneno.

anifie mie kwa lipi
kwani tutakuwa tunachimba mahandaki.

Hahahahaaa kweli umekuwa FISI unagoja mizoga....kwanza Bishanga mwenyewe skrepa halafu unamgombania....akikufia ujue una kesi aisee
 
Erickb52 umezaliwa sawa na mwanangu na braza wangu........daaa sasa sijui wewe ni ..........ngu???
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom