With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

hahahhaaa afu muache kumpa pombe ozzbend wangu jamani!! unajua anasahaugi mlango wa chumbani kwetu?!?!?

Juzi nikabugi babe nikafananisha mlango wa chumba cha mfanyakazi wetu wa kike.. Ungenifuma naona ungenifikiria mengine lol..
 
Happy birthday mpendwa!
Longlive with good life full of happiness!
 
Juzi nikabugi babe nikafananisha mlango wa chumba cha mfanyakazi wetu wa kike.. Ungenifuma naona ungenifikiria mengine lol..

aisee.........yani hata usijaribu kufikiria ntafanya nini.......nadhani unaweza ishia kucheka badala ya kukasirika!!!
 
Uyu kaka mkubwa anazidi kuzeeka tu sa sijui lini ntamkuta.
Happy birthday Erickb52
 
Last edited by a moderator:
huyu hakufai kabisa kwani ataharibu ndoa yako bure achana naye nitamtafuta mwingine ambaye ni ndugu wa mbali kwenye ukoo wetu naye ni Mr Rocky sijui kama naye atakuwa kama huyo nadhani atakufaa ila mchunguze ujue undani wake

cousin kwa nini uende mbali wakati shem Mentor yupo....... Ongea naye basi aje anihelp jamani
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa, sweetlady ni noumer!!!!!!! Hadi kafanikiwa kukutoa kwenye chupa, maana nasikia ulifungiwa chupani.....
Karibu sana aisee.

Acha kabisa dada binamu.... Inabidi anishukuru sana manake bado kidogo angefia kwenye chupa lol
 
Last edited by a moderator:
Aisee!

Kwanza, happy besidei dogo Erickb52

Pili, sweetlady hata kunistua mapema? nina wazo, badala ya Asprin kuwa kaka awe tu mjomba "kiishe"......mi nitabaki kuwa kaka, ila hii habari hadi watu wamelewa

Nimemwona Paw kwenye hii sherehe, leo King'asti ujanja wote mfukoni

Naowamba mabinti Arabela na miss strong hebu nisogezeeeni kinywaji nina kiu sana, ndo kwanza natoka Kyela...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom