Mamndenyi bora tuu unyamaze na tusiliongelee tena hili maana nakujua na najijuaSiwezi sema hapa ubaoni
Sitaki kuwapa wengine faida tena.
Huyo mama wa kiwowowo lol kinategaje sasa hahahaaaaa
Aache wapi? Jana kuna mitaa arachuga kaonekana na Lady doctor.
Ila kweli eeeh
Hebu Lady doctor badili avatal hadi mfungo uishe kwanza
heee wewe Lady doctor ni binamu yake iweje hamfanyie kitu mbaya nduguye? usiwagombanishe ndugu wewe,
hahaha acha tu binamu.........alifika na nusu mzinga wa grants....tukaanza kunyang'anyana ili nimpe maji walau kilevi kipungue! nna kazi binamu..........!!!