With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

samahani sana si huyu kijeba anajifanya anazo kumbe hana mbona mm wakati nafanyiwa komunio ya kwanza hakuwa tayari kumtumia mama ezzypesa?
Jamani tuko kwenye maraha ya kumwimbia mtoto, we Block City mbona unampigia mtoto makelele? Ntamwambia red brigade Filipo akutoe nje sasahivi
 
samahani sana si huyu kijeba anajifanya anazo kumbe hana mbona mm wakati nafanyiwa komunio ya kwanza hakuwa tayari kumtumia mama ezzypesa?

Hahahahha.... Anazo kweli bana...leo kajitolea kunywesha na kulisha wageni waalikwa wote! Mentor njoo umthibitishie black City kuwa simdanganyi
 
Last edited by a moderator:
mm namfahamu sana kuliko wewe kwani hujui kuwa watu wa aina hii wanapenda sana sifa hata kama hajasifiwa atajishaua ili nae aonekane mm sitaki hapa nyumbani kwetu aje atamhariibia rangi mtoto wetu bure na hata akija atamshika kwani nitakaa naye chumbani kwangu hashikwi na mtu yeyote huyu baby View attachment 105048ona hapa anavyocheza mabreka wewe View attachment 105048

Kumbe katoto eeh?
Ndo maana hakajaseto dauni...
Hebu kape mawaiza ili katulizane Pacha..

Kaache kamalize foolish age pacha, mawaidha ntakapa baadae kakifika above 20....ngoja kajifunze kwanza lol..... Hiyo siku ikifika mawaidha atayachukua hata kwa viboko
 
mm namfahamu sana kuliko wewe kwani hujui kuwa watu wa aina hii wanapenda sana sifa hata kama hajasifiwa atajishaua ili nae aonekane mm sitaki hapa nyumbani kwetu aje atamhariibia rangi mtoto wetu bure na hata akija atamshika kwani nitakaa naye chumbani kwangu hashikwi na mtu yeyote huyu baby View attachment 105048ona hapa anavyocheza mabreka wewe View attachment 105048

Sheria za nchi zinasemaje kuhusu haki ya mtoto Block City........nani kakuruhusu kuweka picha za baby boy hapa?
 
Last edited by a moderator:
teh teh...wakti wa keki ndio wakti mzuri atii...tena uhakikishe wankatia pande kubwa kubwa ili nipate nguvu ya kuimba uzuri wimbo wa besidei
Hahahaha...haya,taratibuu lakin lisikukwame!
 
Dear sweetlady
Ninaomba kukushukuru sana kwa kunitakia heri katika siku yangu hii ya kuzaliwa...Pokea thanks zangu!
Sina la kusema...ila umenifanya nirudi kundini kwangu (Chitchat) coz ni miezi kadhaa sasa tangu niwe nje ya jukwaa.
Thanks for your love and care.
Nichukue fursa hii kuwashukuru wanaJF wote toka maujukwaa yote bila kuwasahau mods wote Invisible , Paw , Moderator na wenzao.

Niliwamiss sana wapendwa The Boss thanks sana, watu8 Baba V mimisa Paloma sosoliso PakaJimmy TANMO Heaven to earth babaa Arushaone shem shansarie na mumewe kiwatengu Arabela YNNAH Mamaa KOKUTONA Mamndenyi Bishanga (Miss you mkuu) Slave , Lisa snowhite Blaki Womani (Miss you sister) Filipo Mungi marejesho LiverpoolFC Mr Rocky (Tukutane Meatu tukagawane watoto wetu) ladyfurahia (Sister Upooo?) Nivea (Hajambo KakaKiiza ?) Mrembo by Nature (Miss you), Mentor (Wapi dada yako beibe nasty ?) Block City KakaKiiza (Thanks bro), Lady doctor (Miss kiwowowo) bila kumsahau Preta na mumewe mtu chake Madame B (LongTime mdada) Nicas Mtei(??) charminglady na Elizabeth Dominic (Nawamiss sana jamani) Vin Diesel ???.
Duh ni wengi sana....jamani nawashukuru wote na niliwakumbuka sana hasa The secretary (Salamu kwa mtoto).
Dada zangu Fixed Point Roulette na AshaDii nawamiss sana.
Pia ninawashukuru sana wake zangu kwa mapenzi yao ya dhati kwangu....Asante sana Amyner (Miss you) Chocs (You are ma number 1), Kipipi (Mwaaaaah) Remmy (Thanks for caring).
sweetlady thanks a lot kwako na kwa mumeo nitonye ....!
Bishanga tuonane baadae.
 
Duh ni wengi sana....jamani nawashukuru wote na niliwakumbuka sana.
Dada zangu Fixed Point Roulette na AshaDii nawamiss sana.
Pia ninawashukuru sana wake zangu kwa mapenzi yao ya dhati kwangu....Asante sana Amyner (Miss you) Chocs (You are ma number 1), Kipipi (Mwaaaaah) Remmy (Thanks for caring).
sweetlady thanks a lot kwako na kwa mumeo nitonye ....!
Bishanga tuonane baadae.

Sawa, Ila Utulizane sasa...
 
Erickb52,
Asante kwa salamu zako za shukrani,
Najua kilichokukimbiza cc ni pale ulipofumaniwa na Nicas Mtei,
Karibu hayo tutayaweka sawa.

Pia kwenye jina langu hapo juu naomba uweke mpaka ili
niweze kuwa mbali kidogo na Bishanga, hii ni kwa ajili ya
usalama wangu; ......mkewe wa 10 .... Kongosho
amenitishia maisha.

Enjoy your day mwaya.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom