With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

Mimi na my akanana Passion Lady tunamtakia bwana Erickb52 happy birthday na mumgu amuongezee miaka 100 ya furaha na amani na watu wote
 
Last edited by a moderator:
Aisee!

Kwanza, happy besidei dogo Erickb52

Pili, sweetlady hata kunistua mapema? nina wazo, badala ya Asprin kuwa kaka awe tu mjomba "kiishe"......mi nitabaki kuwa kaka, ila hii habari hadi watu wamelewa

Nimemwona Paw kwenye hii sherehe, leo King'asti ujanja wote mfukoni

Naowamba mabinti Arabela na miss strong hebu nisogezeeeni kinywaji nina kiu sana, ndo kwanza natoka Kyela...


Hahahaha....mjomba Asprin njoo huku ujionee homie alivokubatiza lol... Kaizer wala hujachelewa sana kaka manake hii party imeanza baada ya futru... Karibu jisikie uko kwako
 
Last edited by a moderator:
oooh jamani nilikuwa wapi Bishanga hata hajaniita wivu mbaya my dear Erickb52 anafikisha miaka 90 yupo kwenye angle of elevation hureeeee
 
Last edited by a moderator:
oooh jamani nilikuwa wapi Bishanga hata hajaniita wivu mbaya my dear Erickb52 anafikisha miaka 90 yupo kwenye angle of elevation hureeeee

Ukiona Bishanga kakuacha mwenyewe nyumbani ujue alikuja huku kumendea lol... Muulize kulikoni kadi ya mwaliko inasema mr & mrs afu akuache home?
 
Last edited by a moderator:
Unikomeeeee
Nani kakuambia nafikisha miaka 90?
Nina miaka 19 mie usinizeeshe meeeen

Hahahahaha..... Amechanganya madesa lol.... Hapo alikuwa anamaanisha Bishanga ndie kafikisha 90...

Afu na wewe mie nawaambia watu kuwa ndio uko sweet 16 kumbe ni 19???? Khaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom