Jamani mwenzenu nipo mbali kidogo na my wife mimi nipo masomoni yeye yupo mkoa mwingine kikazi, huyu my wife kanionea tu roho mbaya hataki nicheze mechi za ugenini kwa nimejaribu kwa wanawake kama watatu kitu haisimami kabisa mwisho naaibika tu mwanzoni nilijua ni ugonjwa nikampigia simu akaja kitu kikasimama na kazi ikafanyika ya maana kweli, nimejaribu kuchunguza nimegundua wife kanifanyizia sasa kumwambia nashindwa nitaanzaje.
Kama kakuroga na yeye mroge akienda kwa dume papuchi isifunguke.
Unafurahia shida za mwenzio!??
amu masharti yake unayaweza?Moja ya masharti ni kuwa dawa hiyo inaingizwa Pemba(kwenye papuchi) na dushelele la mtaalamu (inapakwa kwenye dushelele then dushelele linazamishwa huko Gold mine),ukiwa tayari ni PM!Kama kuna anayejua hiyo dawa anipm.
cc MziziMkavu
unipe mawazo jinsi ya kumwambia ili na mimi niwe nacheza mechi za ugenini siku moja moja.
Jamani mwenzenu nipo mbali kidogo na my wife mimi nipo masomoni yeye yupo mkoa mwingine kikazi, huyu my wife kanionea tu roho mbaya hataki nicheze mechi za ugenini kwa nimejaribu kwa wanawake kama watatu kitu haisimami kabisa mwisho naaibika tu mwanzoni nilijua ni ugonjwa nikampigia simu akaja kitu kikasimama na kazi ikafanyika ya maana kweli, nimejaribu kuchunguza nimegundua wife kanifanyizia sasa kumwambia nashindwa nitaanzaje.
wewe unaitaka hiyo Dawa je wewe mwenyewe umetulia kwa mume wako?
amu sasa unaquote vibaya,sijasema kaliwa,nimesema dawa inaingizwa Pemba kupitia Unguja!Hata ile dawa ya kung'ang'aniana inawekwa huko pia,ukiona umeng'ang'ania jua mkeo kawekewa dawa!Hahahaaaa amu,unauliza ubishi Kigoma,inawezekana wako wataalamu wengi lakini mimi pia ni mtaalamu!Ukiwa tayari ni PM! MziziMkavu pia naamini dawa anayo ila sifahamu masharti yake!Aiseee means Molembe mke wake aliliwa?sasa nikupm wewe ndo mtaalamu?
Je mkewe akifaa??????????
unipe mawazo jinsi ya kumwambia ili na mimi niwe nacheza mechi za ugenini siku moja moja.