Wife kaniroga naogopa kumwambia.

Wife kaniroga naogopa kumwambia.

Jamani mwenzenu nipo mbali kidogo na my wife mimi nipo masomoni yeye yupo mkoa mwingine kikazi, huyu my wife kanionea tu roho mbaya hataki nicheze mechi za ugenini kwa nimejaribu kwa wanawake kama watatu kitu haisimami kabisa mwisho naaibika tu mwanzoni nilijua ni ugonjwa nikampigia simu akaja kitu kikasimama na kazi ikafanyika ya maana kweli, nimejaribu kuchunguza nimegundua wife kanifanyizia sasa kumwambia nashindwa nitaanzaje.
Hongera zako, kakuepushia mabalaa kibao,
ila hilo ka kumwuliza liko easy, mwambie kuna jamaa yako
kafanyiziwa na mkewe akienda nje ngoma haisimami, ila kwa
mkewe tu, ila cha kusikitisha huyo mkewe anagawa tunda kama
hana akili nzuri. Kama ni yeye utamsikia atakapo kuja juu.
 

hahahaaaaa!!safi sanaaaaa
naomba namba ya my wife wako
na mimi anipeleke huko kunapopatikana
kifunga netiweki!!
 
mwambie kuwa majaribio yote matatu ya kutaka kumtania kwa machangu yaligonga mwamba kwani mguu wako wa 3 haukukunjuka. (sisitiza kuwa ulikuwa unataka kumtania tu, hukuwa na lengo la kumsaliti.) ajabu ni kwamba ulipoamua kumualika yeye aje umpunguzie uzito... mguu wa 3 ulikunjuka fasta. muulize alikufanyaje? atakuambia tu maana anakupenda sana.
 
Hivi hawa waganga hawawezi kufanya mpango na mwanamke nae akitaka kutoka nje ya ndoa papuchi yake igeuke kua mgegegedo jamaa akimbie manake nahisi naibiwa jamani...
 
Jamani mwenzenu nipo mbali kidogo na my wife mimi nipo masomoni yeye yupo mkoa mwingine kikazi, huyu my wife kanionea tu roho mbaya hataki nicheze mechi za ugenini kwa nimejaribu kwa wanawake kama watatu kitu haisimami kabisa mwisho naaibika tu mwanzoni nilijua ni ugonjwa nikampigia simu akaja kitu kikasimama na kazi ikafanyika ya maana kweli,
Umejuaje kama kakuroga kama na we utakuwa haujamfanyia hivyo?
nimejaribu kuchunguza nimegundua wife kanifanyizia sasa kumwambia nashindwa nitaanzaje.
Umetumia vipimo gani kugundua kama umerogwa?
Kama utakuwa umekwenda kwa wazee wa kamati basi na we ni mrosi.
 
Acha ujinga, huna akili, unang'ang'ania kuzini nje ya ndoa, kwan lazima? Ungekua na akili ungeomba akuongeze dozi.
Ila uwe makin maana kakuwekea wewe, vipi kuhusu yeye unaridhika awape?
 
Jamani mwenzenu nipo mbali kidogo na my wife mimi nipo masomoni yeye yupo mkoa mwingine kikazi, huyu my wife kanionea tu roho mbaya hataki nicheze mechi za ugenini kwa nimejaribu kwa wanawake kama watatu kitu haisimami kabisa mwisho naaibika tu mwanzoni nilijua ni ugonjwa nikampigia simu akaja kitu kikasimama na kazi ikafanyika ya maana kweli, nimejaribu kuchunguza nimegundua wife kanifanyizia sasa kumwambia nashindwa nitaanzaje.

Eeheee! Nimekumbuka, na we mloge, kuna dawa inaitwa "lutambulila" (ya wahehe) akienda kuonja tu inanasa
 
Mkeo ni mbunifu sana ni pm namba yake anielekeze ujuzi huo kapata wapi.
 
Usimwambie chochote kwa sasa mpaka ukigundua dawa imeisha nguvu ndio umwambie aka renew!
Abiria chunga mzigo wako!!!!

Umenifurahisha eti aka-renew! Ili iwe na nguvu tena siyo?
 
Back
Top Bottom