Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,727
Hahaha JF NEVER BORING!
Ila ni matumizi mazuri sana ya uganga, sema angeweza pata ya kufanya usitamani kabisa haki mimi ningenunua hata kwa milioni nikiwekee mwenyewe ili nisitamani mabinti wengine zaid ya gf wangu tu!
Sema tatizo ya dawa uliyopewa ww bado kutamani kupo! Hio sio fresh!