miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,110
Ndo anifanyie hivyo upendo gani huo.
hataki tamu yake umpe mwingine.......
Ndo anifanyie hivyo upendo gani huo.
Jamani mwenzenu nipo mbali kidogo na my wife mimi nipo masomoni yeye yupo mkoa mwingine kikazi, huyu my wife kanionea tu roho mbaya hataki nicheze mechi za ugenini kwa nimejaribu kwa wanawake kama watatu kitu haisimami kabisa mwisho naaibika tu mwanzoni nilijua ni ugonjwa nikampigia simu akaja kitu kikasimama na kazi ikafanyika ya maana kweli, nimejaribu kuchunguza nimegundua wife kanifanyizia sasa kumwambia nashindwa nitaanzaje.
hataki tamu yake umpe mwingine.......
usikute yy ndio bingwa wa kutoa lapulapu lake, halafu ww anakubania!!
Halafu kule ye anatoa. bas na yeye amloge mkewe isiingize
Unaona enhee anambania mwenzie wakat yy anagawa kama muuza karanga sio vzr aisee ndo maana nawachukia wanaweke
hah hah... Heaven on Earth unayajua haya mambo na wewe?
Sasa hivi mapenzi ya kuaminiana haman tena dah kaazi kwelikweli.mi nadani suluhisho ni akufanye uwe mwaminifu na sio kukufunga na hizo dawa vipi dokta wake akifa au akibadilisha mawasiliano.
Nikimwambia si atajua nilitaka kusaliti ndoa.
Amaefanya vizuri.Jamani mwenzenu nipo mbali kidogo na my wife mimi nipo masomoni yeye yupo mkoa mwingine kikazi, huyu my wife kanionea tu roho mbaya hataki nicheze mechi za ugenini kwa nimejaribu kwa wanawake kama watatu kitu haisimami kabisa mwisho naaibika tu mwanzoni nilijua ni ugonjwa nikampigia simu akaja kitu kikasimama na kazi ikafanyika ya maana kweli, nimejaribu kuchunguza nimegundua wife kanifanyizia sasa kumwambia nashindwa nitaanzaje.
Tafadhali naomba number ya simu ya mkeo, nina shida naye sana sana tafadhali, maana mimi nikiipata hiyo naona nitaloga za ukoo mzima wa mume wangu, maana kila shemeji yangu, baba mkwe, baba wadogo wa mume wangu wana watoto wa nje, so inaweza ikafaa ukoo wa mume wangu.
imekaa vizuri hiyo...