Wife kaniroga naogopa kumwambia.

Pongezi kwa mwanamama mwenye akili nyingi na busara za kuilinda nyumba yake isiangamie
 
Jamani mwenzenu nipo mbali kidogo na my wife mimi nipo masomoni yeye yupo mkoa mwingine kikazi, huyu my wife kanionea tu roho mbaya hataki nicheze mechi za ugenini kwa nimejaribu kwa wanawake kama watatu kitu haisimami kabisa mwisho naaibika tu mwanzoni nilijua ni ugonjwa nikampigia simu akaja kitu kikasimama na kazi ikafanyika ya maana kweli, nimejaribu kuchunguza nimegundua wife kanifanyizia sasa kumwambia nashindwa nitaanzaje.
kakusaidia ingawa unasema kakuroga , ni style nzuri hiyo , mimi mwenyewe mke wangu ana mambo kama hayo kila nikimtongoza mwanamke kama ana matatizo ya kimwili basi kitu hakifanyi kazi , siku 2 3 unasikia yule dada ana ngoma , ni msaada mzuri ingawa mimi si kwa wote , mpende mkeo mtadumu
 
Jamani mwenzenu nipo mbali
kidogo na my wife mimi nipo masomoni yeye yupo mkoa mwingine kikazi,
huyu my wife kanionea tu roho mbaya hataki nicheze mechi za ugenini kwa
nimejaribu kwa wanawake kama watatu kitu haisimami kabisa mwisho
naaibika tu mwanzoni nilijua ni ugonjwa nikampigia simu akaja kitu
kikasimama na kazi ikafanyika ya maana kweli, nimejaribu kuchunguza
nimegundua wife kanifanyizia sasa kumwambia nashindwa
nitaanzaje.

naomba namba yake pliiiiz...
 
lakini Molembe una uhakika gani kwamba kakuloga. what if ni roho yako tu inakusuta hadi unashindwa mchezo.

tupe vithibitisho vya kuonyesha kweli kakuloga
 
Last edited by a moderator:
Wazungu wanatumia mabilioni kutafuta kinga ya Ukimwi... kumbe njia simple za asili zipo...
 
lakini Molembe una uhakika gani kwamba kakuloga. what if ni roho yako tu inakusuta hadi unashindwa mchezo.

tupe vithibitisho vya kuonyesha kweli kakuloga

Mpe uthibitishe... kama atashindwa
 
Last edited by a moderator:
hahaaaaaa. , Tuko hujaniilewa. anaweza kushindwa pia.. kutokana na dhambi yake hiyo kumsuta. Ukute wife wake hajafanya lolote wala hana habari.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom