Wife kaniroga naogopa kumwambia.

Jamani mwenzenu nipo mbali kidogo na my wife mimi nipo masomoni yeye yupo mkoa mwingine kikazi, huyu my wife kanionea tu roho mbaya hataki nicheze mechi za ugenini kwa nimejaribu kwa wanawake kama watatu kitu haisimami kabisa mwisho naaibika tu mwanzoni nilijua ni ugonjwa nikampigia simu akaja kitu kikasimama na kazi ikafanyika ya maana kweli, nimejaribu kuchunguza nimegundua wife kanifanyizia sasa kumwambia nashindwa nitaanzaje.

Nipe namba ya waif wako, anisaidie nataka kufungua duka la dawa za aina hii; kuna vidume vingine huku vyenye tabia kama zako. Hii dawa inaonekana italinda ndoa nyingi sana.... namini biashara hii itanitoa... plizzzzzii
 
Ngoja kwanza...hivi ile kitu mpaka iingie si lazima isimame?na ikimezwa si lazima ......... Naomba nimpe cc Molembe ngoja nisubiri ya MziziMkavu
amu sasa unaquote vibaya,sijasema kaliwa,nimesema dawa inaingizwa Pemba kupitia Unguja!Hata ile dawa ya kung'ang'aniana inawekwa huko pia,ukiona umeng'ang'ania jua mkeo kawekewa dawa!Hahahaaaa amu,unauliza ubishi Kigoma,inawezekana wako wataalamu wengi lakini mimi pia ni mtaalamu!Ukiwa tayari ni PM! MziziMkavu pia naamini dawa anayo ila sifahamu masharti yake!
 
Last edited by a moderator:
huwezi amini,hii stori menichekesha sana,is it atrue story au you just saying for fun
 
Wew ni mshamba tu, Unaona sifa kuelezea watu utumbo wako.Labda anataka uwe unafanywa sio wew kufanya,Tehtehteh
 
Atachukua hatua gani wakati yupo kitanzini...hapo jamaa anaomba hata kama kufa basi atangulie yeye....

Ila aisee hiyo dawa ingewafaa sana wanawake wenye waume design ya Kapuya...teh teh teh...

Huyo mwanamke hakufai hata kidogo, chukua hatua mapema, upo hatarini.
 
Kuna nyingine hiyo ilitokea temeke kama si mbagala; mdudu alipotea kabisa...chezeya wanawake wewe...

Mbaya zaidi mke akamkimbia mume baada ya kuipoteza...sababu ni kujifanya kidume na kuwa na nyumba ndogo...teh teh teh...mwanaume alipiga magoti kwa mkewe ampeleke kwa huyo mganga (aka fundi) amrudishie mdudu wake, mke kagoma...

Nisichojua ni kama kweli mke alitaka ipotee au alitaka dozi kama alopewa huyu jamaa ila aka overdose...

(niliisoma hiyo kwa magazeti ya Shigongo, na ni kweli maana na picha na majina vilikuwemo)

huwezi amini,hii stori menichekesha sana,is it atrue story au you just saying for fun
 
Jamani mwenzenu nipo mbali kidogo na my wife mimi nipo masomoni yeye yupo mkoa mwingine kikazi, huyu my wife kanionea tu roho mbaya hataki nicheze mechi za ugenini kwa nimejaribu kwa wanawake kama watatu kitu haisimami kabisa mwisho naaibika tu mwanzoni nilijua ni ugonjwa nikampigia simu akaja kitu kikasimama na kazi ikafanyika ya maana kweli, nimejaribu kuchunguza nimegundua wife kanifanyizia sasa kumwambia nashindwa nitaanzaje.

Mkeo ni mtu mzuri sana maana anaonyesha kuwa anakupenda na kukujali. Kwa kuwa uko mbali naye, ebu naomba namba yake ya simu nimtakie khali?
 
Jamani mwenzenu nipo mbali kidogo na my wife mimi nipo masomoni yeye yupo mkoa mwingine kikazi, huyu my wife kanionea tu roho mbaya hataki nicheze mechi za ugenini kwa nimejaribu kwa wanawake kama watatu kitu haisimami kabisa mwisho naaibika tu mwanzoni nilijua ni ugonjwa nikampigia simu akaja kitu kikasimama na kazi ikafanyika ya maana kweli, nimejaribu kuchunguza nimegundua wife kanifanyizia sasa kumwambia nashindwa nitaanzaje.
siri za ndani
 
Wew ni mshamba tu, Unaona sifa kuelezea watu utumbo wako.Labda anataka uwe unafanywa sio wew kufanya,Tehtehteh

wewe unaona huu ni utumbo hujui kuna watu wenye hekima na busara wanaweza kushauri la kufanya.
 
Back
Top Bottom