Whozu afungiwa miezi 6, Mbosso na Billnass wafungiwa miezi 3. Wote wapigwa faini Tsh. Mil. 3. Wimbo wa 'Ameyatimba' umewaponza

Mbona Billnas verse yake ipo Clean tu? Mboso ndiyo ameyetimba na kupaka wese kwenye mkono na kumuonyesha msichana wakido something.
Umesikiza kwa makini verse ya Bill Nas ? tena mule ndio kuna Matusi tele tena inaweza kuwa zaidi ya verse ya Mbosso.

Mifano kama sikosei ; "Amekutana na beki napiga miguu yote" hapa anamaanisha anapiga mbele na kinyume na maumbile nk.
 
Mboso anaonekana kumbaka mdada na kumpaka mafuta ya Nazi ila wamemuacha
Mbona wameondoka naye

20231105_153718.jpg
 
Wenye channels uchwara Youtube wameupload kwenye channels zao na hio video now imewapa views nyingi ,maana baada ya kusikia kufungiwa watu wameenda kutizama.
Aseeh...watu Wana ujinga mwingi sana
 
Wasanii kama hamna vitu vya kuimba kwenye remix mmkae kimya, huu wimbo hata audio remix ni mbovu kipande cha Mbosso. IT'S BETTER THIS WAY video mbaya.
 
Bado akina zuchu and alike na zile nyimbo zao za mahabamahaba . Bora yule mwamba wa kaskazini yeye na hip hop yake anaimba bei ya mkaa na nyimbo zake nyingi hazina mamodo waliokaa kaa nusu uchi mapaja na matiti yakionekana. Wengine wanaimba wanarembulia watu kimahaba hao nao waangaliwe video zao si nzuri

Video nyingi za wasanii wetu maudhui yake ni ngono tu.
 
Umesikiza kwa makini verse ya Bill Nas ? tena mule ndio kuna Matusi tele tena inaweza kuwa zaidi ya verse ya Mbosso.

Mifano kama sikosei ; "Amekutana na beki napiga miguu yote" hapa anamaanisha anapiga mbele na kinyume na maumbile nk.
hao wote ni wahuni tu nyimbo zao zidhibitiwe. La sivyo wakaimbe kwa wahuni wenzao kwenye makasino. Bangi mbaya sana
 
Sa itakuaje tena Goma la beach boyz
 

Attachments

  • 5518173-a8c512983eaa8671518346f3828ccedd.mp4
    5.4 MB
Back
Top Bottom