mbosso

 1. I

  Miaka miwili ya Mbosso ndani ya WCB

  Msanii mbosso Khan a.k.a Mr romantic au unaweza kumwita jina lingine muhindi wa kibiti amefurahia kufikisha miaka 2 tangu ajiunge na record label kubwa ya WCB na tangu hapo ameteka mioyo ya watanzania wengi kwa nyimbo zake zenye ufundi wa uandishi pamoja na sauti yake nzuri. Wakati anasigniwa...
 2. gonamwitu

  Mbosso badilika, gemu itakushinda

  Ahlan wasahlan wanajukwaa, Huyu kijana wa kuitwa Mbosso "Khan Mushedede" kutoka viunga vya WCB kiundashi, melody na hata jinsi anavyoimba yuko njema. Shida yake ni moja tu: habadiliki, kila siku nyimbo zile zile, uandishi ule ule, mahadhi yale yale. Kila wimbo anataja maandazi, kachori...
 3. Bumblebee1

  Rayvanny - I Love You, Mbosso - Ate, Lavalava - Tekenya: Naona mmeamua kutuchezea nyie vijana wa WCB

  Rayvanny wa I Love You sio yule wa Kwetu na Natafuta Kiki. Mbosso wa Ate sio yule wa Hodari na Maajabu. Lavalava wa Tekenya sio yule tulomzoea wa mapini makali kama Bora Tuachane na Niuwe. Hivi nyie vijana wa WCB ndio mmeamua kuprove kwamba Harmonize alikuwa mkali namba 2 kama sio namba 1...
 4. Bumblebee1

  Mbosso ndiye mrithi wa Harmonize pale WCB

  Hili liko wazi kabisa, wala halihitaji ubishi. Kijana huyu ana cheche na moto haswaa wa kuweza kukamata siti iliyoachwa wazi na Harmonize. Najua matarajio ya wengi ni kwamba Rayvany ndio ataziba hilo gap, lakini nionavyo mimi uwezo wake ndipo ulipoishia. Kama ni kumfikia Harmonize basi alipaswa...
 5. Barcelona763

  Mbosso – Maajab

  Mbosso – Maajab Mbosso nyimbo zake zote zinafanana,melody zinafanana na bado aina ya muziki anayofanya sijamuelewa mpaka was leo.Nyimbo hii sielewi wala Mimi si kisiwi inahusu nini haswa.hakuna mwendeleo wa Shairi ila kurusha kurusha maneno ya misamiati.
Top Bottom