whozu

  1. Mjanja M1

    Whozu: Nikiachwa na Wema Sepetu nitajiua

    Msanii anaefanya vizuri kwenye kiwanda cha BongoFleva Whozu, amesema kuwa endapo kama ataachwa na mpenzi wake Wema Sepetu basi atajiua kwa kujitosa baharini. Akifanya mahojiano na East Africa Radio Whozu amesema, "Mapenzi yangu kwa Chimama yaacheni kama yalivyo. Nipo kwenye penzi zito siku...
  2. benzemah

    Whozu, Mbosso na Bill Nass wafutiwa adhabu ya kufungiwa, watalipa faini tu

    Kikao cha kusikiliza rufaa ya Wasanii Mastaa nchini Whozu, Billnass na Mbosso kimefikia maamuzi ya kuwataka Wasanii hao kulipa faini ili waweze kuruhusiwa kufanya kazi za sanaa nchini kwa kufuata maadili ya Kitanzania. Maamuzi hayo yamefikiwa kwenye kikao chini ya uongozi wa Waziri wa Utamaduni...
  3. BARD AI

    Whozu afungiwa miezi 6, Mbosso na Billnass wafungiwa miezi 3. Wote wapigwa faini Tsh. Mil. 3. Wimbo wa 'Ameyatimba' umewaponza

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtaka Msanii Whozu kushusha mara moja video ya wimbo wake wa ‘Ameyatimba’ kwenye digital platform zote, pia limemtoza faini ya Tsh. milioni 3 na limemfungia kujishughulisha na kazi za sanaa kwa muda wa miezi 6 kuanzia leo November 04, 2023 kutokana na wimbo...
  4. The only

    Tukio la Mama Wema kwa Whozu na Wema ni la kutengenezwa

    Nimepiga hesabu za Cuba nikaongeza ujuzi wa mjini, Wote mnamjua wema alivo karibu na mama yake ni nini wema asingekijua kuhusu maoni hasi ya mama yake? Angelien ile video vyema utagundua wajomba na madada za wema wanasura za maigizo og. Mjini kutrend yataka kujitoa akili hawa watu
  5. Hance Mtanashati

    Penzi la Wema na Whozu nalitilia mashaka sana

    Jamani niseme ukweli kila nikichunguza penzi la Wema na Whozu naonaga kama limekaa upande mmoja hivi. Wema anampenda sana Whozu ila kwa Whozu naonaga kama anamtumia tu Wema kufanikisha mambo yake . Halafu za chini chini inasemekana Wema anatoa pakubwa sana kuliko Whozu . Wema siku zote...
  6. Nakadori

    Wema Sepetu na Whozu mahaba ndindindi

    Msanii wa bongo movie Wema Sepetu na msanii wa bongo flava Whozu wako kwenye mahaba mazito kwa muda sasa. Hii video hapa chini inawaonesha wawili hao wakisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Wema kwa mabusu motomoto na inasemekana Whozu alimfanyia ex madame surprise ya maua na keki...
  7. N

    Whozu ft Donat mwanza: Simba Noma bonge la wimbo

    chama la wana simba ni kiiiibokooooo siiimba ni nooma eeheeeee siiimba siiiimba aaaah aweweweeee walete waleteeeeeeeee Niki report toka kurasini bandarini ni mimi Nzagamba dume a.k.a MZEE TOZI mzee m bad zee la bandari, wazee wa bandari meli hiyoo Poooohoooo. KUIACHA SIMBA EEHEEE KUSHABIKIA...
  8. MALCOM LUMUMBA

    Whozu ana kipaji kikubwa, akikazana na kujifunza atafika mbali sana

    Juzi nimeletewa wimbo na mdogo wangu unaitwa Mi Amor wa huyu Whozu. Huwa nasikiliza Bongo Fleva lakini ni wasanii wachache sana huwa nawafurahia kwa uwezo wa kufanya ubunifu wa kujitenganisha na wasanii wengine. Mara nyingi wasanii wengi huwa wanaigana sana kuimba na mwisho kabisa huwa unakuta...
Back
Top Bottom