'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

Kiranga kashindwa kuleta ithibati,yenye uthibitisho usiokuwa na ukinzani,kama mabaya yapo.
 
Nimetoa mfano kwenye posts nilizotuma na ukanijibu.

Wewe hujaweza kutoa uthibitisho kwamba Mungu yupo.
Ndiyo nilikuuliza ikiwa uthibitisho wako ni hadi mie nijibu post yako,je na uthibitisho wa uwepo wa mungu pia ni hadi mungu atakapo onekana?
 
Ndiyo nilikuuliza ikiwa uthibitisho wako ni hadi mie nijibu post yako,je na uthibitisho wa uwepo wa mungu pia ni hadi mungu atakapo onekana?
Hilo swali nilikujibu nikataja mpaka mirage na oasis jangwani.

Ulielewa?
 
Kiranga kashindwa kuleta ithibati,yenye uthibitisho usiokuwa na ukinzani,kama mabaya yapo.
Hapana,

Nimekuletea kitu ukakikataa.

Nikasema sawa. Ili wote tuwe pamoja hatufarakani, ili nisikuletee uthibitisho halafu wewe uukatae, basi nieleze viwango vyako unavyovitaka na mimi nijipime kabla ya kukujibu nizingatie viwango.

Uthibitisho wenye ithibati maana yake ni nini? Kwangu naona kama unarudia neno moja lile lile tu kama mtu anayesema "uthibitisho wenye uthibitisho". Etymology ya uthibitisho na ithibati ni moja.

Sasa unaposema ithibati yenye uthibitisho au uthibitisho wenye ithibati au uthibitisho wenye uthibitisho, maana yako hasa ni nini?

Na unaweza kutoa uthibitisho kama huu kuonesha Mungu yupo?

Umeongelea "usiokuwa na ukinzani", nimekuambia kwamba Mungu wako ana contradiction (ukinzani).

Hujaweza kuondoa contradictions hizo.

Sasa leo wewe ambaye hujaweza kuondoa ukinzani katika dhana ya kuwepo kwa Mungu wako ndiye uje kuniambia mimi nitoe uthibitisho )ambao hata husemi viwangi vyake) ambao hauna ukinzani?

Utanitakaje nifanye kitu ambacho mimi nilianza kukutaka wewe ukifanye halafu ukashindwa?

Tena hata bila ya kuniambia misingi ya unachotaka nifanye ni ipi?

Kweli unataka mjadala au unaleta inda ya kinda tu hapa?
 
Well said simplemind...
mwambiage kiranga akuelewe.
God is spirit. God isn't a physical being kama akili ya kiranga itakavyo
What is that spirit u a talking about...? do u mean he is invisible??? And why He and not she???...
 
Ikiwa wayaita majanga,una ushahidi gani kama hayo majanga yamesababishwa na nini mpaka yakawa asilia.
Je unataka kutuambia majanga ni kazi ya shetani??? Manake mnasemaga mabaya yote ni ya shetani.... kama Mungu ameumba dunia, mwezi, je, vimbuka, matetemeko ni ya nani???
 
Silaha za maangamizi zipo duniani miaka mingi sana,ni kutokana na dunia kutokuwa kijiji kwa mawasiiano ndio tulikuwa hatujui yanayotokea duniani.
Lakini hivi sasa kutokana na dunia kuwa kijiji ndio tunafahamu kila linalotokea duniani.
Dunia sio kijiji... au umetoa kwenye biblia na hili???
 
Najua hauna uthibitisho wa kuwa wewe unaishi. Nakama unao ulete hapa.
Ilo neno ww its obvious u speak or write to a second personal songular... vitu ambavyo binadamu anapaswa kuwa concern navyo... ni vile vinavyogusa milango yake mitano ya fahamu.... out of that u can not tell the existence of things which are out of focus... mfano maji ni hayana rangi, hayana harufu na hayana taste... ila unaweza kuyaona.(seeing is the justification of existence)... ushuzi hauna rangi, hauwezi kuuona, hauna ladha, ila una harufu ( harufu ni justification ya existence). Upepo hauna rangi, hauna harufu hauna taste ila unaweza kufeel kuvuma au kwa kusense kwa ngozi...(kuvuma na kusense kwa ngozi ni justification ya existence). I can sense ur existence... by voice, by seeing u. Unawezaje kuja hapa na kusema ozone layer inaexist?? Ndio maana people ar doing researchs to discover such things...behaviour etc. Sasa wew kaa alafu unaend up namwachia Mungu yeye ndio mpangaji wa yote, kumbe uchafu unaokuzunguka ndio unakuletea maradhi....
 
Naona Kiranga and the co wako wanapiga kelele tu hapa na ujuaji mwingi ila hawajibu maswali ya msingi.

Wako bize kusema ubaya wa majanga at the same time hawasemi kwa nini majanga ni jambo baya. Kama hakuna Mungu:
1. Kwa nini majanga yawe ni kitu kibaya?
2. Wanataka majibu logical ilhali kulingana na falsafa yao sisi ni wanyama tu na hivyo hakuna msingi wa kudai majibu logical

Kama hakuna Mungu basi majanga si jambo zuri wala baya. Kwa sababu bila Mungu hakuna zuri wala baya.

Bila uwepo wa Mungu ambaye ametuumba kwa mfano wake na kutupa utashi silazimiki kujibu logical kama ambavyo mbuzi na kondoo wa bibi wasivyohitaji logic.
Jambo baya au zuri halihitaji Mungu kulijua... if I beat u.. u will get hurt and u will respond back or stay out of my way.... mwizi anapokuja kukuibia u will get angry and even cry.. jambo zuri its all about smile, laugh and comfort... jambo baya its all about crying, anger or being unhappy.... u don't need God to recognise these...
 
Who created God? Siyo kiwango cha ubongo wako!
Kama unaweza kuona kilometres 10 tu
Kusikia umbali km 10 tu kunusa mita 500 tu
Unatakaje uwezo was kufikiria ambo haujawekewa kikomo.
Do u mean God yupo below 10km???
 
Hata computer zinaulizana mwanzo wa aliyezitengeneza.the question is immaterial.
Important our brains were made but with a limited capacity.
Why hiyo limited capacity inatuambia Mungu alisema hivi Mungu alisema vile... mboya haya mambo above ur limited capacity??? Umeyajuaje haya???
 
Ndiyo nilikuuliza ikiwa uthibitisho wako ni hadi mie nijibu post yako,je na uthibitisho wa uwepo wa mungu pia ni hadi mungu atakapo onekana?
Hauwezi kukitolea kitu justification kinaexist bila kuhusisha ur five sense organs... otherwise ni masimulizi.
 
Unakumbuka tukaishia wapi baada ya wewe kunijibu?
Uliwayawaya tu bila kujibu maswali ya muhimu.

Nayarudia.

1. Huwezi kuthibitisha Mungu yupo. Unaweza?
2. Huwezi kuondoa contradiction ya kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote on one hand, on the other hand kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani. Unaweza?

Unakumbuka kwamba hujaweza kuthibitisha Mungu yupo (1) wala kuondoa hiyo contradiction ya (2) ?
 
Kiranga hebu njoo unifafanulie vizuri maelezo ya maxime maana wewe unanijua vizuri kuwa upeo wangu.
Mimi nikufafanulie maelezo ya maxime ? Kwa sababu nakujua vizuri upeo wako?

Nakujua vizuri wewe ni mke wangu?

Mwanamme unaniambia mwanamme mwenzako nakujua vizuri wakati sijawahi hata kukutia machoni?

Unajua kwa wengine hiyo ni kashfa hapo? Tulikutana wapi mpaka mimi nikujue vizuri upeo wako wewe?

Upeo gani? Unaongelea upeo au kukosa upeo?
 
Uliwayawaya tu bila kujibu maswali ya muhimu.

Nayarudia.

1. Huwezi kuthibitisha Mungu yupo. Unaweza?
2. Huwezi kuondoa contradiction ya kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote on one hand, on the other hand kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani. Unaweza?

Unakumbuka kwamba hujaweza kuthibitisha Mungu yupo (1) wala kuondoa hiyo contradiction ya (2) ?
Unaweza kunithibitishia kuwa tuliishia kwa wewe kuniuliza maswali hayo?
 
Mimi nikufafanulie maelezo ya maxime ? Kwa sababu nakujua vizuri upeo wako?

Nakujua vizuri wewe ni mke wangu?

Mwanamme unaniambia mwanamme mwenzako nakujua vizuri wakati sijawahi hata kukutia machoni?

Unajua kwa wengine hiyo ni kashfa hapo? Tulikutana wapi mpaka mimi nikujue vizuri upeo wako wewe?

Upeo gani? Unaongelea upeo au kukosa upeo?
Usitokwe povu mkuu.

We ndiye unaniambiaga upeo wangu mdogo au sijui ndiyo sina kabisa upeo. Sasa kwakuwa ndiyo unajua kuwa sina upeo basi ndiyo naomba unifafanulie maelezo ya maxime
 
Back
Top Bottom