'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

First things first can he draw a truth table? Can he formulate one?
Usikute he is just throwing random terms he picked from an atheist website
Ngoja aje na evidence ya Truth Table kwanza la sivyo sina cha kujadili naye huyu ndugu kama hawezi ku prove basis yake ya argumentation 🙂
 
Uthibitisho wenye ithibati ndio ukoje kwa misingi yako? Na unawezaje kuthibitisha uthibitisho huo ndio madhubuti kabisa?

Sitaki kukupa uthibitisho halafu ukaukataa.

Halafu, nikikuoa uthibitisho huo utaweza kunipa uthibitisho kama huo wa kuwepo kwa Mungu?

Unataka uthibitisho usiokinzana wakati wewe mwenyewe huwezi kuondoa ukinzano katika uwepo wa Mungu wako?

Unaweza kuondoa ukinzano huu kwanza katika dhana ya kuwepo kwa Mungu wako kabla ya kunitaka mimi nitoe uthibitisho usiokinzana?
Kwa hiyo wewe wasema Mungu hayupo,kumbe huna uthibitisho wenye ithibati,usiokinzana.
 
Kwa hiyo wewe wasema Mungu hayupo,kumbe huna uthibitisho wenye ithibati,usiokinzana.
Wapi unapata ujinga huu?

Wewe ukiuona uthibitisho huo utaujua?

Utaujuaje wakati hujui kama unaenda au unarudi?

Utaujuaje wakati hujui kukinzana ni nini?

Utaujuaje wakati hujui uthibitisho ni nini?
 
Mpaka sasa hakuna mtu aliyethibitisha kwamba Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na uoendo wote yupo.

Kwa sababu hayupo.
Watu wakianza kujadili uthibitisho unawaambia kuna contradictions,wakijadili contradiction unawaambia hawajaweza kuthibitisha.

Hadi sasa haujaweza kutoa mfano ambao utaweza kueleza ni jinsi gani ya kuthibitisha jambo la imani.
 
Then why is God self contradictory?

Something can't be logicl and self contradictory at the same time.
..God Is fundamentally Logical and not self contradictory Kiranga,its You who Is contradicting Yourself trying to Fathom the Logic that your tiny brain cant possibly understand!!
 
Teh teh teh. Haujaweza kuthibitisha kweli wa Uwepo wa Truth Table. Kwa sababu haipo. Na kwa sababu Truth Table Haipo na ndio inayothibitisha uwepo wa logic kwako, Logic Haipo! Kwa sababu hakuna Logic hauwezi ku prove wala ku disprove chochote. Na kwa sababu hiyo hakuna sababu ya wewe kuuliza swali lolote linalohusu logic mpaka utakapothibitisha kuhusu Truth Table.

Case Closed!
Vipimo ni muhimu kwako au si muhimu?

Kama ni muhimu, kwa nini hujanipa vipimo vya Mungu?

Kama si muhimu, kwa nini unang'ang'ania sana nikupe truth table?
 
Kwa hiyo wewe wasema Mungu hayupo,kumbe huna uthibitisho wenye ithibati,usiokinzana.
Uthibitisho wenye ithibati ndio ukoje kwa mujibu wako? Unajuaje kwamba huo ndio uthibitisho wenye ithibati?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa uthibitisho wenye ithibati hivyo hivyo?
 
Sorry mkuu, God isn't logical.
If he becomes logical to you then he isn't. And ultimately you're serving the devil
..Mkuu God isn't Just Logical,He is Fundamentally Logic meaning he can Break the Laws Of Logic
 
Watu wakianza kujadili uthibitisho unawaambia kuna contradictions,wakijadili contradiction unawaambia hawajaweza kuthibitisha.

Hadi sasa haujaweza kutoa mfano ambao utaweza kueleza ni jinsi gani ya kuthibitisha jambo la imani.
Nimetoa mfano kwenye posts nilizotuma na ukanijibu.

Wewe hujaweza kutoa uthibitisho kwamba Mungu yupo.
 
..God Is fundamentally Logical and not self contradictory Kiranga,its You who Is contradicting Yourself trying to Fathom the Logic that your tiny brain cant possibly understand!!
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote (poposition p) kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kufanyika ( proposition negation of p) ?

p = (-p) is a logical contradiction.

Kwa nini unaamini Mungu ambaye ana contradiction?
 
..am Going to ask You a Question Ili nikujibu,mabaya unayozungumzia wewe ni sins au??!
 
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote (poposition p) kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kufanyika ( proposition negation of p) ?

p = (-p) is a logical contradiction.

Kwa nini unaamini Mungu ambaye ana contradiction?
..Kiranga God is Not contradicting,nlitegemea uwe umeanza kunipa mifano Hapa sasa Hivi Ya hizo contradictions!!
 
M
Habari zenu wana JF. Leo nataka niwaletee ukweli ambao wapinga mungu kama Kiranga huwa hawauelewi. Swali hilo ni hili.

Swali: Je, kama Mungu yupo, nani alimuumba Mungu? (Au ametokea wapi?)

Jibu: Mungu ana sifa ya kutokuwa na mwanzo wala mwisho, hivyo hilo swali halina mantiki. Pia tufanye kuwa Mungu ameumbwa, kwa hiyo logic ni kuwa aliyemuumba naye anatakiwa awe ameumbwa, na kuendelea. Hivyo ni wazi kuwa kutakuwa na miungu infinity kitu ambacho ni Illogical. Hivyo namaliza kwa kusema kuwa, Swali la Who Created God is an illogical question.
Mungu ni Mungu. Alikuwepo kabla ya vitu vyote kuwepo...
 
..Mkuu God isn't Just Logical,He is Fundamentally Logic meaning he can Break the Laws Of Logic
So the laws of logic are not unbreakable then.

That means God is not needed as the first cause, because in a universe where logic can be broken, there is no need for sequence.

If logic can be broken in any way, then God is not needed to explain anything, in fact any explanation is not needed because any explanation is necessarily logical.
 
Back
Top Bottom