gasgas tunajitahidi kuwaonyesha hawa jamaa kuwa dini yao ya hakuna Mungu ni dini kama zingine. Wanaiamini tu bila ushahidi wowote. Tunawasaidia pia wengine wasiangukie katika mtego wa ukana Mungu!
Knock yourself out then bro
Last time
I went on arguing with these guys
He kept saying there are contradictions, contradictions
Nikamwambia let's sit together tuone side zote mbili. Side inayosema hizo ni contradictions na side inayosema hizo siyo contradictions, ila with further analysis of scriptures zinazungumzia kitu kimoja sema it needs diligent and integration ya scriptures kuelewa
Unajua akanijibuje
"Nimeshawahi soma vyote hivyo,kuna contradictions, contradictions"
Nikamwambia, assume basi mimi nipo wrong, wewe upo right tukasome wote. May be nikagain something
"Hamna kuna contradictions contradictions. God can't have contradictions"
Huyu ndio mtu anayetumia logic jamani. Highest level of logic there is lol.
He exemplifies the behavior of a scientist very well.
And solves things scientifically
Based on one side of the argument
Baada ya hapo nikaamua niachane na kureason naye, it's a waste of time.
When judgement day comes the record will show i did what i could.
There are a million other people out there who need this message, itawaokoa
This guy doesn't need it.
He's got it all figured out