'Who created God' is an Illogical Question!

  • Thread starter always am a Winner
  • Start date
A

always am a Winner

JF-Expert Member
230
250
Habari zenu wana JF. Leo nataka niwaletee ukweli ambao wapinga mungu kama Kiranga huwa hawauelewi. Swali hilo ni hili.

Swali: Je, kama Mungu yupo, nani alimuumba Mungu? (Au ametokea wapi?)

Jibu: Mungu ana sifa ya kutokuwa na mwanzo wala mwisho, hivyo hilo swali halina mantiki. Pia tufanye kuwa Mungu ameumbwa, kwa hiyo logic ni kuwa aliyemuumba naye anatakiwa awe ameumbwa, na kuendelea. Hivyo ni wazi kuwa kutakuwa na miungu infinity kitu ambacho ni Illogical. Hivyo namaliza kwa kusema kuwa, Swali la Who Created God is an illogical question.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
51,408
2,000

Is god logical?
 
A

always am a Winner

JF-Expert Member
230
250
Is god logical?
Some of the answers you will never get because you are not GOD. However naweza nikasema kuwa Mungu hufanya vitu logically ingawa hafungwi na logical. Yeye ndiye muasisi wa logic ambayo tunaijua sisi. ( Mungu ni yeye yule Jana, Leo na hata milele).

(Ikumbukwe kuwa kila kitu katika ulimwengu ni logical, we just see some of them illogical because we can't comprehend them using our normal brains).

I knw you will start to ask me questions like 'Can God create pembetatu duara'? I will answer as follow;

Out of our normal logic, its impossible, but, as God is not limited with logic, then we may conclude that God can do anything even things we can not imagine .

You may also ask this question, "Can God create a triangle for which sum of angles are greater than 180°? Then I answer as follows;
1. Degrees is a human invention. Therefore, if a man wanted the triangle to have 1000°, they would do it.
2. In more than two dimensions, (I.e. for example in three dimensions) triangles may have more than 180° logically.

To sum up, our God exist outside our known dimensions and knowledge and therefore, we can not clearly describe his power, authority, and capability. We have to accept him, honour him, worship him, believe him, glorify him, and trust him.

Moreover, we have to ask him to give us the knowledge of him.

To sum up, nataka watu kama Kiranga wa confess kwanza kuwa suala ya Who Created God is illogical question, kwa hiyo sitarajii mtu kuuliza maswali kama ya ' Nani kamuumba Mungu? Au Mungu katoka wapi? Hiyo ni kwa sababu Mungu hajatoka popote. Yupo milele, hana MWANZO, hana MWISHO!
 
Can you prove God exists?
 
MtamaMchungu

MtamaMchungu

JF-Expert Member
4,926
2,000
Tatizo ni kuwa na cyclic evidence, una kitabu kinachosema Mungu yupo, ukiulizwa where is the evidence unasema, ushahidi upo kwenye kitabu hicho hicho, Huwezi ukawa na self authenticated evidence. The claimant and the evidence can not be from the same.
 
K

kamusi

JF-Expert Member
1,079
1,250
Jamani hizi mada zenu za kumdhihaki Mungu mi zinaniudhi sana, hebu mwacheni Mungu wetu kwa nini mnamsakama kila wakati..
hebu zitajeni neema zake alizowabariki, acheni kumdhihaki Mungu, Mungu ni MKUU, ASIFIWAYE NA ANATUKUZWA KILA SIKU
 
M

mhandisi_1

Member
28
75

Mnajua rafiki zangu ndio sababu Biblia inavyoanza haianzi kumtambulisha Mungu, kwa sababu; kuna jamaa yetu humu anapenda kutumia ligic, logic na common sense inakuambia hakuna kilichojitengeneza, "ukiona vyaelea vimeumbwa". Unahitaji elimu kubwa sana sana ili uhoji kama kalamu ninayoitumia (kumbuka kalamu sio key board) ilijitengeneza au kuna mtu aliibuni. sasa jamani kwa akili yetu kubwa 'Great thinkers!) tunashindwa kuona kwamba simple bacteria ni complex kuliko computer na hapo hatujaangalia higher animals. Well unaweza niambia mimi ni mwanasheria hayo mambo yabayolojia nayajulia wapi: basi angalau chagua mfumo mmoja kenye mwili wako hivi kweli kamera itengenezwe na mtu halafu jicho liwe sababu ya big bang. Hapo hapo labda kuna wataalam - wanjimu hapa: matokeo ya big bang ni universe moja ya units zake ni galaxy, leo uniambie chaos (bang, be it big or small) can it result in order what I see in the universe is order and not chaos. Order comes only from an ordered head. Sasa wewe unataka proof gani Yesu akasema kizazi cha zinaa kiahitaji ishara hamtaipata isipokuwa iashara ya Yona: Matthew 12:39 But he answered and said unto them, An evil and adulterous generation seeketh after a sign; and there shall no sign be given to it, but the sign of the prophet Jonas:

Mungu yuko tayari kujidhihirisha kwa wanyenyekevu ukija kwake kwa kiburi atakutazama tu, hana hasara hata sote tukimkana yeye hawezi kujikana, ndugu wewe ndio unamhitaji Mungu na si vinginevyo, upendo wake kwetu ni upendeleo (favor) na si udhaifu!
 
A

always am a Winner

JF-Expert Member
230
250
We can see God's power in everything we see. If fact Kiranga you don't know what God wants. God want you to TRUST him. You can not see God without first to TRUST him. God want you to do good deeds even when you can't feel him in your surrounding.

I ask you one thing. Can you prove if demons exist? If you cant, then how do you explain demonic possessions?

Trust me, even science failed completely to explain how and why people get possessed with demons! They will never explain scientifically because it is not a scientific fact, its a spiritual fact.

So, God is a spiritual fact, dwelling in an immaterial place, so you can't scientifically prove him for the same reasons as applied in demonic possessions.

But we all know that demons exist by looking the effects they do, in our environment.

Got me?
 
flintsky

flintsky

JF-Expert Member
661
1,000
dont mistaken kindness with weakness buddy! yule jamaa alisema asijaribiwe ni binadam kama wewe na watu wameingiza upepo.sasa mjaribu huyo ambaye asiependa kujaribiwa ilihali anaomba tumuombee kwa huyo unamwitA illogic
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
51,408
2,000
We can see God's power in everything we see. If fact Kiranga you don't know what God wants. God want you to TRUST him. You can not see God without first to TRUST him. God want you to do good deeds even when you can't feel him in your surrounding.

I ask you one thing. Can you prove if demons exist? If you cant, then how do you explain demonic possessions?

Trust me, even science failed completely to explain how and why people get possessed with demons! They will never explain scientifically because it is not a scientific fact, its a spiritual fact.

So, God is a spiritual fact, dwelling in an immaterial place, so you can't scientifically prove him for the same reasons as applied in demonic possessions.

But we all know that demons exist by looking the effects they do, in our environment.

Got me?
Can you prove god exists?

Demons do not exist. There are mental health issues which people with neither the training nor the qualifications call demonic possession.

Next time you want a conversation with me reply to my post or tag me. Otherwise I may not see your post.
 
N

Nyarwadhnyarwath

JF-Expert Member
1,157
2,000
Some of the answers you will never get because you are not GOD. However naweza nikasema kuwa Mungu hufanya vitu logically ingawa hafungwi na logical. Yeye ndiye muasisi wa logic ambayo tunaijua sisi. ( Mungu ni yeye yule Jana, Leo na hata milele).

(Ikumbukwe kuwa kila kitu katika ulimwengu ni logical, we just see some of them illogical because we can't comprehend them using our normal brains).

I knw you will start to ask me questions like 'Can God create pembetatu duara'? I will answer as follow;

Out of our normal logic, its impossible, but, as God is not limited with logic, then we may conclude that God can do anything even things we can not imagine .

You may also ask this question, "Can God create a triangle for which sum of angles are greater than 180°? Then I answer as follows;
1. Degrees is a human invention. Therefore, if a man wanted the triangle to have 1000°, they would do it.
2. In more than two dimensions, (I.e. for example in three dimensions) triangles may have more than 180° logically.

To sum up, our God exist outside our known dimensions and knowledge and therefore, we can not clearly describe his power, authority, and capability. We have to accept him, honour him, worship him, believe him, glorify him, and trust him.

Moreover, we have to ask him to give us the knowledge of him.

To sum up, nataka watu kama Kiranga wa confess kwanza kuwa suala ya Who Created God is illogical question, kwa hiyo sitarajii mtu kuuliza maswali kama ya ' Nani kamuumba Mungu? Au Mungu katoka wapi? Hiyo ni kwa sababu Mungu hajatoka popote. Yupo milele, hana MWANZO, hana MWISHO!
Good response.
 
Forum statistics

Threads
1,424,948

Messages
35,076,913

Members
538,170
Top Bottom