Sina haja sababu ya kuleta uthibitisho kwasababu hivyo ndivyo wanaoamini Mungu yupo ndio hao hao wanaamini na uwepo wa shetani!
Haaa qatu hawajiwlewi kama wanaenda au wanarudi.
Ukiwabana vizuri wanaweza kujisahau kwamba wao ndiobwanaotetea uwepo wa Mungu na wanaweza kukuambia "lete uthibitisho kwamba Mungu yupo".
Kuna mmoja hapa eti ameniomba nithibitishe kwamba mabaya yapo hapa duniani.
Eti na yeye ni Muislamu anayeamini Quran.
Sasa mimi namuuliza, wewe muislamu, unaamini Allah ni Mungu, unaamini Quran ni kitabu chake. Quran inasema duniani kuna maovu, halafu unataka mimi nikuthibitishie dunia hii ina maovu? Wakati kitabu chako mwenyewe cha dini kinasema dunia hii ina maovu?
Jamaa ni Muislamu lakinibkwa sababu alijuwa anaendekeza brownie points za JF, ilibidi aikane Quran.
Nikamuuliza mara kadhaa hapa, unaiamini Quran? Akawa hataki kujibu. Nikamwambia kwa Muislamu kikataa Quran kwa ajilibya ubishi wa JF ni jambo la ajabu.
Ukichunguza sana utaona hata hawa wanaosema wanaamini Mungu yupo wengi hawaamini kikweli.
Mtu anayeamini Uislamu kweli hawezi kuikana Quran kwa sababu ya ubishi wa JF. Au kuniambia nimthibitishie dunia ina maovu wakati Quran ishasema hivyo.
Sasa ninapoona hii habari ya wewe kuambiwa uthibitishe shetani yupo wakati wanaoamini Mungu vitabu vyao vinasema shetani yupo inafanana na ile ya mimi kuambiwa nithibitishe mabaya yapo na Muislamu.