el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,064
Ukisema hivyo unamaanisha miaka 1000 iliyopita kulikuwa hakuna tetemeko maana hakukuwa na matumizi ya silaha Kali..Uwezo wa ufahamu wa binadamu una kikomo chake,ukifika wakati wa kufikia ugunduzi huo,watakuja kukuambia ,vinasababishwa na binadamu.Ikiwa ukame unasababishwa na kukata miti ovyo ,kwa nini matetemeko na vimbunga visisababishwe na binadamu anayetumia silaha Kali za maangamizi.Pembe zote za dunia kuna vita,kwa nini isiwe hizi silaha kali ndio zinazosababisha majanga.