Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,775
We do have so many things beyond our thinking capacity, things that our minds can't comprehend, logical and illogical staff are normally man illusion or the limitations of their thinking.
Just to mention few of them;
1. Utizame uumbaji wa chanzo ambacho ni mbegu! Tone la manii linageuka kua binadamu, punje ya nafaka inatoa nafaka, ulishajiuliza ni kitu gani huwa nyuma ya hiyo processing?
2. Kwenye tumbo la uzazi hakuna mtu anayeweza kukuambia for sure ni jinsi gani mtoto anapumua akiwa kazungukwa na maji.
HAKUNA anayeweza kukuambia for sure kitu gani kina triga kuanza kwa mapigo ya moyo.
3. Mearly 1/10 of the drivers understand how their vehicle operates yet they enjoy the driving.
Kabla hujamkosoa mwenye Digrii inabidi uwe nayo pia ili muweze kukaa meza moja.
Kabla ya kuanza kujishughulisha na nani kamuumba Mungu jibu kwanza basic thing ambazo ziko katika saraunding yako ukipata majibu unaweza kwenda katika hatua nyingine ya juu.
Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app