Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
..Yes,God Is Logical KirangaIs god logical?
..Yes,God Is Logical KirangaIs god logical?
..Kuna haja Ya Hoja Kweli kuprove existance Ya Mungu,kila kitu kinachokuzunguka ni Prove Ya existance Yake!!badala ya kuandika hivi ni bora ungeandika vishawishi dhabiti vya uwepo wa Mungu uwenda mtu akajua kwamba yupo
Uwezo wa ufahamu wa binadamu una kikomo chake,ukifika wakati wa kufikia ugunduzi huo,watakuja kukuambia ,vinasababishwa na binadamu.Ikiwa ukame unasababishwa na kukata miti ovyo ,kwa nini matetemeko na vimbunga visisababishwe na binadamu anayetumia silaha Kali za maangamizi.Pembe zote za dunia kuna vita,kwa nini isiwe hizi silaha kali ndio zinazosababisha majanga.Kwa hiyo tetemeko la Kagera na Hurricane ya Haiti ni man made?
Prove to me your existenceIli Mungu awe Mkamilifu lazima awe na upendo, nilipotaka unipe ushahidi wa ukamilifu, wewe ulinipa mfano wa tajiri ambaye wote tulikubaliana kuwa hana upendo.Basi hata Mungu hawezi kuwa mkamilifu kama hana upendo.
Inakuwaje ambaye humjui sifa zake,useme hayupo,inatakiwa kwanza umjuwe,halafu ndio useme yupo au hayupo.Ebu taja sifa za Mungu aliyepo?
Matumizi ya silaa za maangamizi yalianza lini na majanga asilia yalianza lini?Uwezo wa ugahamu wa binadamu una kikomo chake,ukifika wakati wa kufikia ugunduzi huo,watakuja kukuambia ,vinasababishwa na binadamu.Ikiwa ukame unasababishwa na kukata miti ovyo ,kwa nini matetemeko na vimbunga visisababishwe na binadamu anayetumia silaha Kali za maangamizi.Pembe zote za dunia kuna vita,kwa nini isiwe hizi silaha kali ndio zinazosababisha majanga.
Hili ndilo swali la kishenzi kabisa kuliona JF Intelligence.Kwa hiyo anayebandika haya mabandiko unayo ya quote ni nani?Prove to me your existence
Silaha za maangamizi zipo duniani miaka mingi sana,ni kutokana na dunia kutokuwa kijiji kwa mawasiiano ndio tulikuwa hatujui yanayotokea duniani.Matumizi ya silaa za maangamizi yalianza lini na majanga asilia yalianza lini?
Nimekuambia utaje sifa za Mungu unayesema yupo? wacha kujizunguka mwenyewe.Inakuwaje ambaye humjui sifa zake,useme hayupo,inatakiwa kwanza umjuwe,halafu ndio useme yupo au hayupo.
Sasa hapa ndio nimehisi unaishi kwa kutumia illusion. Unaamini kuwa silaha za maangamizi zilianza kutumiaka zamani?Silaha za maangamizi zipo duniani miaka mingi sana,ni kutokana na dunia kutokuwa kijiji kwa mawasiiano ndio tulikuwa hatujui yanayotokea duniani.
Lakini hivi sasa kutokana na dunia kuwa kijiji ndio tunafahamu kila linalotokea duniani.
Najua hauna uthibitisho wa kuwa wewe unaishi. Nakama unao ulete hapa.Hili ndilo swali la kishenzi kabisa kuliona JF Intelligence.Kwa hiyo anayebandika haya mabandiko unayo ya quote ni nani?
Hebu nithibitishie kuwa kila kitu kinachonizunguka ni prove ya existance yake..Kuna haja Ya Hoja Kweli kuprove existance Ya Mungu,kila kitu kinachokuzunguka ni Prove Ya existance Yake!!
Habari za contradiction unazileta wewe ila mie siamini mungu mwenye contradiction.Kwanza unakubali kwamba unaamini contradiction?
Huwezi kutaka nikujibubwewe tu wakati wewe hutaki kunijibu mimi.
Ni wapi nilisema naamini mungu mwenye cotradiction? Habari za contradiction ni zako wewe.Kwa nini unaamini Mungu mwenye contradictiin?
Jibu kwanza hili swali😛ost iliyoquote ni ya nani?Najua hauna uthibitisho wa kuwa wewe unaishi. Nakama unao ulete hapa.
You would have answered my question in the first placeJibu kwanza hili swali😛ost iliyoquote ni ya nani?
Unamuuliza nani ajibu swali lako?You would have answered my question in the first place
Unataka tuangalie sifa zote za mungu katika kila tukio? maana unajua kuwa mungu ana sifa zaidi ya uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote.Tajiri ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
Sorry mkuu, God isn't logical...Yes,God Is Logical Kiranga
Duh!Ili Mungu awe Mkamilifu lazima awe na upendo, nilipotaka unipe ushahidi wa ukamilifu, wewe ulinipa mfano wa tajiri ambaye wote tulikubaliana kuwa hana upendo.Basi hata Mungu hawezi kuwa mkamilifu kama hana upendo.
Kutapatapa kubaya sana.