Mfanonunafananisha visivyofanana.
Mwajiri hana uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote.
Mungubana uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote.
Mfano wako ungekuwa sawa kama ungeongelea muajiri wako, ambaye kaumba ulimwengu wote, mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akupe hilo gari halafu upate ajali.
Tungeuliza imekuwaje muajiri huyo aumbe ulimwengu ambao ajali inawezekana kuwepo wakati ambapo alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ajali ahiwezekani kufanyika?
Which is essentially the question I have asked about God.
This question is unanswered.