Aisee internet kiboko dunia imesimama kidogo maisha bila WhatsApp fikiria unamtumia mtu msg za kawaida na ni ishu ya haraka ila haujui kama yupo online au lah... Maisha bila WhatsApp na ig ni ukale wa kupitiliza fikiria biashara ngap zitayumba... Ila mwisho wa siku liwe funzo tulisahau websites tukazitupa kama kungekuwa kuna mastaa au kampuni kubwa zina websites wangeingiza pesa nyingi huko maana ndio uwanja uliobaki
 
Nikajua ni hapa hapa Helsinki kumbe hata huko buza kwa mpalange tabu ipo pale pale
 
New Tweet from FB.

"We understand the frustration and are working to resolve the issue. Please understand this may take 15 to 30 days to resolve. We thank you for your patience."
 
Inasemekana Facebook, Instagram na WhatsApp zimekuwa hacked na watu wasiojulikana hadi Mda huu Wafanyakazi wa Mitandao hiyo Wameshindwa kutatua tatizo hilo,

Duniani Kuna ma professional hackers hadi wameweza kuhack Apps zote kwa wakati mmoja hadi mdaa huu Mmiliki na wafanyakazi wameshindwa kutatua tatizo,
Inasemekana Kama Kuna wafanyakazi watabainika kuhusika na Kudukua Hizo Apps Watafukuzwa kazi

Kushutdown kwa Apps linaweza kuchukua Mda hadi kupatikana Solution

Poleni sana watumiaji wa mitandao kujitangaza na kuuza bidhaa zenu


Nilikosea instead of Hack nikaandika Huck
Hii hujuma ya simba kwa manara! Najua leo hajaingiza pesa kabisa
 
Acha kupotosha watu
Usiwe mbishi mimi natumia WhatsApp muda huu
Screenshot_20211005-004758_1.jpg
Screenshot_20211005-004707_2.jpg
 
Back
Top Bottom