Kuchwizzy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 1,072
- 2,306
Nitajitahidi hii mada iwe fupi kadri iwezekanavyo, nikianza na utangulizi kidogo sana kuhusu Web 3.0, Cryptocurrency na NFTs.
Disclaimer :
Hii mada inawalenga zaidi developers, na haitokua na msaada wowote kwa wale wanaotaka kujifunza kuhusu Cryptos au NFTs kwa lengo la kuwekeza (investment), kwahio maswali kama "Jinsi gani naweza wekeza kwenye Bitcoin (BTC), au Coin ipi ipo kwenye soko, hayatokua na majibu.
UTANGULIZI
Nini maana ya Web 3.0?
Turudi mwaka 1970....
Wakati wa vita baridi kati ya Marekani(USA) na umoja wa kisovieti (USSR) ikiwa imepamba moto, hofu ya kutumika silaha za Nyuklia kati ya hizi nchi mbili ilizidi kupata nafasi.
Kwa wakati huu, Marekani walikua na Computer moja (Centralized Computer) ambayo ilikua inaongoza sehemu kubwa ya mifumo ya silaha zake, haswa silaha za Nyuklia.
Hii iliwapa hofu kubwa Marekani, kwa sababu walikua na single point of failure, yaani kama USSR wakifanikiwa kushambulia Data center yenye hio Computer, USA hawatokua na uwezo wa kujibu Mashambulizi
Kutatua, hili tatizo, kitengo cha ulinzi cha Marekani, kikaanzisha mpango mkakati ambao baadae ukaja kuzaa Internet
Internet lilikua ni jibu, badala ya kuwa na Computer moja yenye kila taarifa muhimu, tunaweza kuwa na Muunganiko wa Computer nyingi ambazo zinaweza zungumza kwa pamoja na kugawana hizi taarifa.
Kama moja ya computer ikishambuliwa, taarifa hazitopotea kwani kutakua na Computer nyingine zenye taarifa au Program hizo hizo.
Kwahio lengo kubwa la kuundwa Internet ni decentralization of resources or data
Baadae Tim Berners-Lee, akawa mtu wa kwanza kuunda application ya kwanza ya Internet, ambao wote tunaijua kama Worldwide wide web, au kwa kifupi Web
Version hii ya Web, ilikua "decentralized", kulikua hakuna Central Computer yenye web pages zote, badala yake kila Computer ilikua na uwezo wa ku access Web pages kutoka kwenye Computers nyingine.
Changamoto kubwa ya version hii ya Web, ilikua ni "Read Only".
Kulikua hakuna namna ya User ku interact na taarifa ( content)
Web nzima ilikua kama kurasa ya Wikipedia, ambayo huwezi fanya chochote zaidi ya kuisoma.
Kulikua hakuna namna ya mtumiaji ku comment, like, share, na interactivity nyingine tunazozifanya sasa. Pia kutengeneza content ilikupaswa uwe na uelewa na HTML, kitu kilichofanya creators wakubwa wa contents wawe developers wenyewe.
Kwa kua Static, na read-only aina hii ya Web ikapewa jina la Web 1.0 ikiwa ni vision ya kwanza ya Internet ambayo mtumiaji alikua ni Consumer wa resources ( data)
Web 1.0 ilidumu kwanzia miaka ya 90,mpaka mwishoni mwa mwaka 2003.
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 na kuendelea, Developers kwa msaada wa Server side scripting languages Kama PHP na Ruby ambazo zilikua zikipata umaarufu mkubwa kwenye Dev community kwa wakati ule, walianza kutengeneza Web apps ambazo zilimpa mtumiaji wa kawaida, ambae hana mafunzo yoyote ya HTML au programming kuunda contents.
Hapa ndipo zilizo zaliwa Web apps kama Facebook, Youtube, Twitter, MySpace na nyingine nyingi.
Content creators wakiwa ni normal users,
Aina hizi za Web apps zilikua dynamic na more interactive kuliko static web pages za Web 1.0
Kwa kua Dynamic na interactive aina hii ya Web ikapewa jina la Web 2.0,ikiwa ni vision ya pili ya Internet, ambapo mtumiaji wa kawaida ni Consumer na Creator wa resources ( data)
Web 2.0 tunayo kwanzia miaka ya 2003s mpaka sasa, asilimia kubwa ya Apps unazozitumia mpaka sasa ni Web 2.0 Softwares
Kwanzia Tiktok, YouTube, SnapChat, Alibaba, Jamiiforums, Twitter, Instagram,na hio billion dollars idea uliyonayo kichwani kwako sasa hivi probably ni Web 2.0 software
Bahati mbaya, hii sio vision ya Internet ambayo waasisi kama kina Tim Berners-Lee waliitaka
Badala ya kuwa Decentralized ambayo ndio original purpose ya Internet imekua Centralized.
Fikiria kuhusu hili, katikati ya mwezi October mwaka huu, Facebook servers ( kwa sasa Meta Platforms) zilipotea kwenye Internet na kufanya Apps zake kama Facebook, Instagram na WhatsApp kutopatikana kwa mda.
Ndani ya kipindi hiki kulikua hakuna Service yoyote,
Physical au Cryber Attack, itakayoelekezwa Kwenda kwenye Data centers za Google, itafanya 60% ya Internet users wawe offline
Hii ni sawa sawa na hofu, iliyopelekea US defense system watengeneze Internet, lengo ni kuipa nguvu decentralization
But now, taarifa na softwares muhimu duniani zimehifadhiwa kwenye Centralized Servers zinazo milikiwa na hizi Big tech corporations kama Facebook Meta, Google, Twitter, Bytedance etc.
Hizi zikitoweka hata kwa masaa, Internet nzima inakua down.
Tatizo jingine la Web 2.0 ukiacha kuwa na Single point of failure ni Data Bleaching
Jinsi Mafuta yalivyo muhimu kwenye uchumi,ndivyo data zilivyo
Data ni taarifa yoyote unayoiweka kwenye Internet, video unayo upload Youtube, Status yako Whatsapp, Tweet yako twitter, picha yako Instagram, Post ulizo like Facebook, virtually kila taarifa kuhusu wewe mtandaoni ni Data.
Kwa kua tunategemea zaidi hizi popular Apps, zinazomilikiwa na Private companies na zinazohifadhi data zetu kwenye Central Servers zao.
Tunajikuta tumewakabidhi taarifa zetu muhimu, kama malipo ya "Free services zao".
Kama msemo unavyosema, "if you're not paying for service, you become the product "
Kwa kua Web 2.0 services nyingi ni free, na nyuma yao kuna VCs na stakeholders wanaohitaji Profit, Web 2.0 Apps kama Facebook na nyingine zikaja na namna ya kutengeneza faida kupitia taarifa zetu.
User targeted Advertisements ndio ikawa business model ya Web 2.0 software nyingi.
Kama wewe ni mpenzi wa mpira YouTube itajua kwa kutumia data zako, (aina za video unazotazama sana) kisha itaanza kuku target na Ads kutoka Meridian bets mwanzoni mwa kila video utakayofungua YouTube)
Mbaya zaidi, hatujui ni kwa njia gani wanachukua na kutumia data zetu,
Kuna explicit data, ambazo sisi wenyewe tunawapa kama likes au video tunazo tazama, na implicit data ambazo wanazichukua on the background.
Ukiacha Targeting Ads, pia wana uwezo wa kuuza data zetu kwa third party companies kama Facebook na Cambridge Analytics scandal
Pia wanaweza uza taarifa zetu kwa serikali,
Tatizo jingine la Web 2.0 ni Censorship
Kwa kua zina run on Centralized Servers ni rahisi mno kwa Serikali kuzi ban.
Wote tunajua kilichoikumba Facebook,Youtube,Whatsapp na Twitter kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana.
Hio kwa tanzania tu, kuna cases kama hizo Dunia nzima
Tatizo jingine ni kuwa, taarifa yako sio yako kwa 100%, JF wanaweza ban account yako mda wowote ( mfano tu) au YouTube wanaweza block video yako.
Ku sum up, changamoto za Web 2.0 ni
1.Single point of failure
2.Data bleaching and Privacy issues
3.Censorship
Satoshi's Whitepaper...
Mwaka 2008,wakati dunia inapitia mtikisiko mkubwa wa uchumi, Legend asiyejulikana aliyejitambulisha kwa jina la Satoshi Nakamoto, alichapisha Document inayoelezea mfumo mpya wa Malipo aliyoupa jina la Bitcoin
Bitcoin's Software ya Satoshi, ilikua na sifa kuu tatu,
Kwanza ilikua ni *Decentralized *, badala ya kuwa hosted kwenye centralized computer / Server, Bitcoin software inakua hosted kwenye peer to peer servers au Nodes,yaani kwa kila Computer iliyowahi participate kwenye Bitcoin transactions
Hii inafanya Bitcoin kuwa secure zaidi, kwani ni ngumu kui hack, au kui ban as long as 51% ya honest nodes zinaunda part ya Bitcoin Network
Sifa ya pili, Bitcoin software ni anonymously, yaani transaction yoyote ya Bitcoin haiwi associated na personal details za users wanaofanya transactions, hakuna breaking of privacy
Sifa ya tatu, ilikua ni ownership, kila Bitcoin transaction ni unique, na inakua owned na single user kwenye historia nzima ya Bitcoin
Hizi sifa tatu, Decentralization, Anonymity na Ownership zinaifanya Bitcoin, na Cryptos nyingine kuwa unique
Protocol inayo run Bitcoin, ilikua implemented kwa mara ya kwanza na Satoshi mwenyewe, na kupewa jina la Blockchain.
Essentially Blockchain ni database, ambayo badala ya kuwa hosted kwenye single computer kama traditional databases zilivyo, inakua hosted kwenye multiple peer to peer computers au nodes kwenye Bitcoin networks nzima
Bitcoin ni decentralized database.
Ndipo ilipozaliwa Web 3.0
Web 3.0 ni vision mpya ya Web, inayolenga kutumia BlockChain technology ku develop Web Apps ambazo ni decentralized, anonymous, na yenye true ownership of data
Kwenye Web 3.0,user anakua sio tu creator, au consumer wa data, bali true owner wa data zake
Imagine Web ambayo unalipwa baada ya App kutumia data zako.
Na sio tu, ownership of data, user pia anakua mmiliki wa Software husika
Aina hii mpya ya Web apps zinazotumia BlockChain zinajulikana kama DApps, au "Decentralized Apps "
Mpaka kufikia mwakani, tunatarajia kuzaliwa kwa idadi nyingi za DApps..
Kwa ambao bado hatujaona umuhimu wa Web 3.0,
Fikiria hivi, kwasasa Software industry imekuwa well established & occupied
Hizo Big companies tayari zimekua monopoly kwenye market
Huwezi kuja tena na Social media Apps ambayo ita compete na Facebook, Instagram, YouTube, Snapchat, Twitter etc....
Huwezi, kwa sababu tayari wao wana First mover advantages, walianza mda so wame set barrier of entry juu sana, na wana user base ya kutosha
Kwanini?, kwasababu wao ndio pioneers wa Web 2.0
Wao ndio wame develop Web Apps zilizofanya Web 2.0 iwe reality na sio just buzzword
Fortunately, na wewe pia kama developer umepewa opportunity ile ile aliyopewa Mark Zuckerberg miaka ya 2000.
Internet lazima i shift kutoka Web 2.0,kuja Web 3.0
So kuna 90% empty space kwenye Market.
Unatakiwa wewe na idea yako, who know unaweza kuwa the next Zuckerberg?
Chagamoto ya Web 3.0
Changamoto ya Web 3.0 ni uchanga wake,
Currently, ipo 10% tu kwenye development
Hii inafanya development ya Dapps iwe ngumu kuliko normal apps, kwa sababu ya uchache wa tools
Japo platforms kama Euthereum zimeondoa ugumu wa ku implement Blockchain yako from the scratch, lakini kuna a lot of works to do.
Impact ya Web 3.0 kwenye Web development
Kawaida, Application yoyote ina part mbili, Front-end na Back-end
Kwenye Web 3.0,frontend haijabadilika,
Still utatumia Html, Css, na Javascript
Kitu ambacho kimebadilika kabisa, ni Back-end
Cha kwanza, kwa kua Web 3.0, ni decentralized, Client server model, haipo
Hakuna centralized server wala client,na back-end haiwi hosted kwenye single server kama tulivyozoea
Backend ina runs on BlockChain, au Euthereum virtual machine,
Architecture yake ni ngumu (kwa maoni yangu)
Pia your favorite programming language haito tumika, at least kwa sasa.
Programming languages zinazotumika kwenye Web 3.0 kwa sasa ni Javascript na solidity.
Kwahio, maoni yangu ni, Web 3.0 ni opportunity kubwa sana kwa developers
Lakini ina learning curve kubwa sana,
Web developer, 0748333586