Kummilikisha mtu mmoja mitandao mitatu mistake

Mark ameifanya hii mitandao kuwa na sheria moja akizima anazima kote

Ni kama serikali ilivyoiminya mifuko ya jamii ikaifanya kitukimoja mwishowe na sheria zimekuwa moja likitokea la kutokea ni kote kote

Sure
 
Wapendwa kwangu sipati mtandao wa Facebook pamoja na Insta ila mingine yote inapatikana, nauliza je ni kwangu tu au pia kuna wengine pia wamepata tatizo kama la kwangu, au inabidi tuanze kutumia VPN
 
Nimefurahi sna angesima kabsa week nzima akili ziwakae watu mnk imekuwa kichochoro Cha umalaya mtandao huu Ni uraibu wa ngono tu unafanywa uko..kwenda izimwe kbsa
 
VODACOM Tunakutaarifu kuwepo kwa tatizo la upatikanaji wa mitandao ya kijamii ya Whatsapp, Facebook na Instagram duniani kote. Tutakutaarifu huduma hizo zikirejea.
 
Wapendwa kwangu sipati mtandao wa Facebook pamoja na Insta ila mingine yote inapatikana, nauliza je ni kwangu tu au pia kuna wengine pia wamepata tatizo kama la kwangu, au inabidi tuanze kutumia VPN
Duniani kote
Screenshot_20211004-225718.jpg
 
Nimefurahi sna angesima kabsa week nzima akili ziwakae watu mnk imekuwa kichochoro Cha umalaya mtandao huu Ni uraibu wa ngono tu unafanywa uko..kwenda izimwe kbsa
Acha uzwazwa wewe unawaza ngono tu hujui hii mitandao ni biashara na watu tunapoteza pesa nyingi kwa kukosa hii huduma.

Kama wewe hujui kazi ya hii mitandao au hujui kuitumia kwa kuzalisha pesa ni bora ukae kimya ngono haipo tu kwenye mitandao hata bila mitandao watu wanafanya tu ngono kwa fujo, hata simu basi zifungwe.
 
Back
Top Bottom