Wazoefu wa haya mambo tusaidiane hapa

Wazoefu wa haya mambo tusaidiane hapa

Sikufichi
Ni vitu vidogo sana vinakata hisia
Kama mpo kwenye stage ya ugelfriend hapo ngumu kuvumiloa
Inavumiliwaga ndoa tu
Kwa mfano harufu ya viatu,jasho kali,yaani usafi wa mtu kwa ujumla unakata hisia sana

Ujanani i dated a doc mmoja so alitokaga shift ya masaa mengi tukaenda nyumbani
Huku na huku alivua viatu nikasikia ile harufu
Sikufichi ile siku dah
Siisahau hadi leo
Ila wanascience huwa hawajijali kuanzia advance shule mpaka maishani
Kitu gani sasa kilifanya hadi hukukataa na ukampa shoo wakati alikukata hisia? Je ni siku hiyo tu au aliendelea kuwa hivyo siku zote
 
Achana nae!!!!
Life is too short .....
Unajua ukipata ingizo jipya huwezi jiandaa kizembe nilijiandaa kuanzia getto hadi unadhifu mwilini nilinyoa sehemu zote muhimu zinazotakiwa kuwa Safi kwa ajili ya mechi kwahiyo hiyo ya harufu kwa siku Ile hapana aiseeh hadi nguo za ndani nilivaa mupyaa kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom