King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,446
- 96,624
Hivi mtu unamtongoza anakukubalia unajaribu kumsogeza kunako 6×6 akija anakataa kwakuwa hutaki kumbaka unampetipeti anakaza zaidi unamuacha kumsubiria siku nyingine
Baada ya kumuacha anakutumia text
"nimejitahidi kuvuta hisia zimekataa yani Sina hisia na wewe kabisa"
Hivi hapo shida ni nini ni kuwa ndio nimeshachunwa hivyo au namna gani
Inaonekana hajaridhika na ubahili wako ,the way ulivyo muhandle ,siku ya kwanza ulitakiwa uteketeza kibunda pasipo mfano yaani mazagazaga na mazagayose ungechafua meza kwa madikodiko ya hatari ,hapo hisia zingekuja.