ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,408
- 45,799
Kila la kheri kijanaSawa ngoja niendelee kutafuta tafuta hata humu nioneš
Kila la kheri kijanaSawa ngoja niendelee kutafuta tafuta hata humu nioneš
Hahaha šš.Umetoka bongo auš
Aah kumbe sawaMimi ni mtu wa makamo ujue au sijaelewa vizuri neno "kijana"š
How old ar you???Hivi mtu unamtongoza anakukubalia unajaribu kumsogeza kunako 6Ć6 akija anakataa kwakuwa hutaki kumbaka unampetipeti anakaza zaidi unamuacha kumsubiria siku nyingine
Baada ya kumuacha anakutumia text
"nimejitahidi kuvuta hisia zimekataa yani Sina hisia na wewe kabisa"
Hivi hapo shida ni nini ni kuwa ndio nimeshachunwa hivyo au namna gani
Waulize Gnz mie mhenga piaHapo kwa genz ndio napataka sasa hebu nipe mbwinu huwa wanafanyaje
Imagine amenikwazaššš¤£š¤£š¤£ kaka umeliwa, unabaka vipi mtu uliekua unampa visenti??
Mie ni Mtawa mkuuUnaweza ukawa na uzoefu hebu nipasie kidogo wajuba wanakujia na njia gani enzi za ujenizii wako
Dah ila hawa watu wabaya sana ndio aseme hana hisia na mimi kama tatizo ni kibunda si aseme niongeze kama maamua kuwa mkweliYee alidhani akija kwako ungeanza kumpa hela kwanza, akiunganisha hakupendi ndo anakosa raha kabisa.hata ivyo nimkwel ameahindwa kufeki vitu.
1000$ years old1000$ dollars oooh kumbe unamaanisha miaka nikajua kibunda kwenye account