Wazoefu wa haya mambo tusaidiane hapa

Wazoefu wa haya mambo tusaidiane hapa

Hivi mtu unamtongoza anakukubalia unajaribu kumsogeza kunako 6×6 akija anakataa kwakuwa hutaki kumbaka unampetipeti anakaza zaidi unamuacha kumsubiria siku nyingine

Baada ya kumuacha anakutumia text

"nimejitahidi kuvuta hisia zimekataa yani Sina hisia na wewe kabisa"

Hivi hapo shida ni nini ni kuwa ndio nimeshachunwa hivyo au namna gani

Mpotezee, usishoboke naye kabisa na wala akikupigia simu usipokee...

Ipo siku atajileta mwenyeweeee
 
Mpotezee, usishoboke naye kabisa na wala akikupigia simu usipokee...

Ipo siku atajileta mwenyeweeee
Upo sahihi kabisa,
Jamaa inaonekana alikua ni dhaifu sana mbele ya huyo mwanamke kwa kujirahisisha sana kimuonyesha kua yupo juu yake na ndio mwenye maamuzi,

Mwanamke usimuonyeshe kua unamtaka kivile,chukulia simple tu wala usimjali,

Sasa jamaa pamoja na yote aliyofanyiwa,anatumiwa msg na anajibu,ndio Mwanamke anazidi kumdharau zaidi.
 
Kama kitu gani masai dada hebu nipe dokezo nishughulike nacho
Sikufichi
Ni vitu vidogo sana vinakata hisia
Kama mpo kwenye stage ya ugelfriend hapo ngumu kuvumiloa
Inavumiliwaga ndoa tu
Kwa mfano harufu ya viatu,jasho kali,yaani usafi wa mtu kwa ujumla unakata hisia sana

Ujanani i dated a doc mmoja so alitokaga shift ya masaa mengi tukaenda nyumbani
Huku na huku alivua viatu nikasikia ile harufu
Sikufichi ile siku dah
Siisahau hadi leo
Ila wanascience huwa hawajijali kuanzia advance shule mpaka maishani
 
Mpotezee, usishoboke naye kabisa na wala akikupigia simu usipokee...

Ipo siku atajileta mwenyeweeee
Hii mbinu nishaanza kuitumia nitaleta mrejesho mara baada ya kusema hana hisia namimi nikaitikia sawa halafu nikakausha hata sikumhoji
 
Hicho ndio kinanipa tabu mkuu why baada ya kuchukua ngawira mara kadhaa ndio leo aseme hana hisia tena anasema kazifuta were ila zimekataa katakat

Kwanini hizo hisia zake hazikukata kwa kuchukua hela za jamaa? Huo nao ni utapeli tu.
Tatizo kibongo bongo
Mapenzi yanawekwa sana na hela katikati

Yaani ela ndo inakua stimulants
Ila woote mkiwa mna ela
Mta enjoy sana mapenzi sana hasa sex
Kwa sabbu miongoni mwenu hamna jambazi
Na hamna anaemtake advantage mwenzie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom