Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,792
- 8,919
Kuna muda kwenye biashara zinakata steam ya mambo mengine mengineHapa kuna kaukweli hivi
Au maumivu ya mahusiano yaliyopita ukayaleta kwa mapya
Na kukosa pesa pia
Kuna muda kwenye biashara zinakata steam ya mambo mengine mengineHapa kuna kaukweli hivi
Kwa mujibu wa maelezo yake ya nyuma alishapigwa matukio hivyo inawezekana point no 2 ikawa sahihi ila ndio asiwe na hisia za kuzagamuana ila awe na husia na kibunda changu hapana kwakweliKuna muda kwenye biashara zinakata steam ya mambo mengine mengine
Au maumivu ya mahusiano yaliyopita ukayaleta kwa mapya
Na kukosa pesa pia
Kwani hujui???ela ndiyo dawa?
Hela kitu kingine ndugu yanguKwa mujibu wa maelezo yake ya nyuma alishapigwa matukio hivyo inawezekana point no 2 ikawa sahihi ila ndio asiwe na hisia za kuzagamuana ila awe na husia na kibunda changu hapana kwakweli
Anataka umpe ahadi za maokoto hakuna kingine hapo.Hivi mtu unamtongoza anakukubalia unajaribu kumsogeza kunako 6×6 akija anakataa kwakuwa hutaki kumbaka unampetipeti anakaza zaidi unamuacha kumsubiria siku nyingine
Baada ya kumuacha anakutumia text
"nimejitahidi kuvuta hisia zimekataa yani Sina hisia na wewe kabisa"
Hivi hapo shida ni nini ni kuwa ndio nimeshachunwa hivyo au namna gani
Nisije nikakusea Munguuu😃😃Mungu nifundishe kunyamaza