Mfikishe Mkeo Kileleni na Afya ya Uume

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,339
51,882
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.

Angalizo: Andiko hili linawahusu watu wote wenye umri kuanzia miaka 18 waliyokwenye ndoa. Iwe ndoa ya kimila, kidini au kiserikali. Isihesabike niliandika ili kuhamasisha ngono, bali kwaajili ya waliyoruhusiwa kufanya tendo la ndoa.

Nami yote niliyoyaandika niliyachunguza, na hii ndiyo hesabu yake.

DONDOO
I. Mifumo ya mwili inayotawala tendo la ndoa.
ii. Afya ya uume.
iii. Jinsi ya kumfikisha mwanamke yeyote kileleni.
Iv. Hitimisho.

Tendo la ndoa linatawaliwa na mifumo ifuatayo ya mwili;
1. Ufahamu (Nervous system) ambayo kiungo cha mwili(Organ) kinachohusika hapa ni ubongo.

Ubongo hupokea taarifa kutoka kwenye milango mitano ya fahamu nayo ni macho, masikio, pua, ulimi na ngozi. Bila mambo hayo hakuna tendo la ndoa.

Hata hivyo pia ubongo hupokea taarifa kutoka katika nafsi ya ndani ambayo wataalam huihusisha na 'Subconscious mind" au ung'amuzi bwete. Ambayo kwa kiasi fulani ndiyo hushikilia hisia za mapenzi katika kufika mshindo/kileleni.

Nafsi ya ndani ndiyo hufanya mtu akilala usiku aote ndoto mojawapo ni ndoto za mapenzi na kufikia kumwaga/kukojoa/ kufika mshindo. Bila Ile milango mitano ya fahamu kufanya kazi.
Yaani mtu unakojoa/kumwaga mwili ukiwa haufanyi kazi, namaanisha masikio, macho, pua, ulimi na ngozi.

Hiyo inatokana na kuwa nafsi ya ndani inamacho ndio maana ukilala ukiota unaona, unasikia, unahisi na wakati mwingine kunusa.

Coordination system baina ya Nafsi (Soul) na ubongo(physical body) huweza kudukuliwa na viumbe wa rohoni. Siyo ajabu mtu akilala na majini au viumbe wa rohoni.

Hata hivyo lazima ieleweke kuwa, hata binadamu akifanya mapenzi. Yaani mimi Taikon nifanyapo mapenzi na mwanamke, miili yetu inapo- pair our device (soul) ili kusisimka na kufika mshindo lazima pawe na coordination baina ya nafsi yangu na ya huyo mwanamke.

Ubongo ndiyo kiungo pekee kinachoweza kuwa connected na nafsi/soul. Na soul/nafsi inawasiliana na miili yetu kupitia ubongo hasahasa kwa njia ya ndoto au maono.

2. Mfumo wa Damu (Blood Circulation System): Mfumo huu unaratibiwa na kiungo cha mwili (Organ) iitwayo moyo. Moyo ndiyo unaosukuma damu.
Zingatia moyo ni moja ya viungo ambavyo vinatawaliwa na Nafsi ya ndani kudunda. Yaani huwezi amua moyo udunde au usidunde, wanaiita involuntary action. Yaani matendo yasiyo ya hiyari ya mwili bali yanasimamiwa na nafsi ya ndani. Unajua ni kwa nini? Subiri nitakujibu kwenye andiko jingine.

Mfumo wa damu pia unatawala matendo yetu ya tendo la ndoa. Kama mfumo wetu wa damu haufanyi kazi vizuri ni dhahiri shahiri hata performance ya tendo itakuwa mbaya.

Ndani ya damu kuna uhai wetu mbali na seli nyekundu (red pigments), plasma na white cell. Labda nimekuchanganya kidogo.

Red pigment (Rangi nyekundu) erythrocytes au haemoglobin ni protein nyekundu ya damu ambayo kazi yake ni kubeba hewa ya oksijeni (oxygenated blood) kutoka mapafuni (lung) kwenda sehemu mbalimbali ya mwili, na kuchukua hewa (deoxygenated blood) kutoka mwilini na kuipeleka mapafuni ili itolewe nje na mfumo wa upumuaji (Respiratory system) kama hewa taka iitwayo carbon dioxide.

Kazi ya oksijeni mwilini ni kuzipa seli za mwili uhai. Plasma ni majimaji ndani ya mfumo ambayo yamebeba sukari, mafuta, protein na virutubisho vingine muhimu ndani ya mwili ambavyo husafirishwa. White blood Cell (seli nyeupe ya damu) hii inahusika zaidi na mambo ya kinga hasa kupitia lymphocytes. Kinga ya mwili dhidi ya magonjwa.

Damu ndiyo hutumika kutawala performance na stamina ya mtu katika tendo la Ndoa. Bila damu uume hauwezi kusimama, ndiyo maana itatupasa kuyazuia magonjwa yote yanayoathiri mfumo wa damu kama kisukari pamoja na Shinikizo la Damu/ Pressure.

Unapoambiwa na wataalamu ufanye mazoezi, lengo lao ni kuuweka mifumo ya mwili wako vizuri hasa mfumo wa damu.

Zingatia damu inauhai, na kwenye korodani kuna mbegu zenye nafsi zisizo na uhai. Shahawa zimejaa maelfu ya mbegu ambazo zinahitaji uhai. Kumbuka sperm (shahawa) ni Gamete Cell inayohitaji kurutubishwa ili kiumbe kitokee. Na kurutubishwa kwake kutatokea endapo seli hiyo itakutana na yai la mwanamke ambalo limezungukwa na mfumo wa damu. Bado hujanielewa au hujui nataka kuelezea nini.

Kwa kifupi ni kuwa ufahamu wako unapopata hamu ya kufanya ngono kupitia homoni zinazoamsha hisia za ngono. Damu ndiyo huwa sumaku ya kuvuta shahawa (nafsi zisizo na uhai) hivyo shahawa hukimbia mbiombio nje kufuata damu/uhai na ili ipate hiyo damu inatakiwa kupitia mfumo wa urutubishwaji (fertilization).


3. Mfumo wa upumuaji/Respiratory system:
Kiungo kinachohusika hapa ni mapafu (lungs) mwili unahitaji oksijeni ya kutosha ili seli za mwili zifanye kazi kwa ufanisi. Katika sex kama huna oksijeni ya kutosha mwilini lazima tendo likushinde mapema.

Elewa kuwa wakati uume unasimama nishati nyingi hutumika hasa hewa ya oksijeni hutumika zaidi. Utashangaa uume au kisimi kikisimama mtu anaanza kupumua kwa harakaharaka. Na kama hautakuwa mtu wa mazoezi siyo ajabu ukaishiwa pumzi na uume kulala mapema.

Hewa ya oksijeni inaingia mwilini kwa kupumua. Kufanya mazoezi huufanya mwili kuingiza oksijeni nyingi na kutoa hewa chafu nyingi zaidi.

Mfano mtu asiyefanya mazoezi ukimuambia akimbie kilometa moja siyo ajabu ukashangaa miguu inaishiwa nguvu hasa kwenye magoti. Hii ni kutokana na kuwa miguu yake hauna oksijeni ya kutosha ambayo husaidia kama nishati ya mwili kufanya kazi.

Vivyohivyo katika tendo la ndoa. Mwili wako usipokuwa na oksijeni ya kutosha sio ajabu wakati wa tendo uume ukawa unadondoka au kutokuwa na nguvu ya kutosha, au ukishamaliza raundi ya Kwanza unashindwa kurudia.

4. Mfumo wa Chakula(Digestion System )
Hapa ni ule uwezo wa mwili kumeng'enya na kuchukua nutrients za vyakula na kuviingiza katika mfumo wa mwili hasa kupitia mfumo wa Damu. Mfumo huu husaidia mifumo yote hapo juu kwa sababu chakula ndivyo kutufanya kuwa hivi tulivyo.

Tendo la ndoa linajengwa na Yale tunayokula kila siku.
Mfumo wa chakula unahusianisha mdomo, ulimi, tumbo, ini na sehemu zake, utumbo mdogo na utumbo mkubwa, moyo, pamoja na figo.

Ni muhimu kuielewa mifumo hiyo ya mwili inavyofanya kazi ili kufurahia siyo tuu tendo la ndoa Bali hata kufurahia mambo mengine.

AFYA YA UUME WAKO
Iili uume wako uwe na afya itakupasa ufanye yafuatayo;

a) Kula chakula kizuri chenye lishe bora/Balance diet matunda, proteins, mbogamboga, sukari kiasi, wanga n.k

i. Kula kachumbari, katakata nyanya, vitunguu maji, karoti, hoho, pilipili kila baada ya siku mbili. Hii inaongeza libido(ashki ya kufanya tendo la ndoa).

ii. Kula ndizo mbivu moja kila siku
Hii inaongeza uume kuwa mgumu na unasimama mara Kwa mara. Itapendeza ukiila usiku.

iii. Jioni usile chakula kingi hasa cha wanga mama ugali, wali, mihogo n.k. Kula matunda, au mbogamboga au juisi.
Hakikisha ule chakula jioni isizidi saa moja na nusu. Na kaa masaa mawili ndipo ulale.

iv. Usipendelee Kula kiwango kingi cha wanga. Pendelea protein kama maharage, kunde, dagaa na nyama nyeupe.

v. Kama umekaa muda mrefu bila kula, kunywa kitu cha Moto ndipo ule chakula. Hii husaidia mmeng'enyo.

b). Kunywa maji mengi angalau lita mbili na nusu mpaka tatu na nusu kwa siku kulingana na kilo zako.

i. Kunywa nusu lita ya maji ya vuguvugu mara baada ya kuamka kabla hujafanya jambo lolote.

ii. Usinywe maji ya kunywa baada ya saa moja jioni.
Wakati mwingine ukinywa maji usiku hupelekea ndoto mbaya hasa kibofu cha mkojo kinapojaa mkojo.

c). Fanya mazoezi
i. Fanya mazoezi ya pumzi.
ii. Fanya mazoezi ya stamina.
iii. Fanya mazoezi ya kudhibiti na kutawala hisia.

d) Pumzika kwa wakati
i. Pumzisha akili yako.
ii. Pumzisha hisia zako.
iii. Pumzisha mwili wako.

e) Burudika na cheza.
Angalau kwa mwezi mara moja nenda Club kacheze kwa furaha, cheza hasa usione haya, waambie wakuweke muziki unaoupenda.

Kama siyo mtu wa Club au kazi yako haikuruhusu hayo, cheza hapo nyumbani ukiwa na Mkeo au na watoto. Chezeni kama mmelogwa.

f) Vaa nguo nyepesi zisizobana mapumbu au korodani zako.
Kama upo nyumbani ikiwezekana vaa kanzu au msuli au kaa uchi kabisa.

JINSI YA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI.
Moja ya sifa ya mwanaume kamili ni uwezo wake wa kumkojoza mwanamke.
Mwanaume akipoteza sifa hiyo inatosha kumfanya adharaulike na hata yeye mwenyewe kutokujiamini.

Taikon nimeona isiwe hivyo. Nimekupa mbinu njia za kumfanya mwanamke wako kileleni azidi kukupenda na mzidi kupendana.

Mwanamke akishafikishwa kileleni hawezi kukumbuka mambo ya vibamia. Wanawake huanza kukumbuka mambo ya maumbile ya uume wako pale utakaposhindwa kumfikisha kileleni.

Na hizi ndizo mbinu zitakazokusaidia kumfikisha Mkeo kileleni;

A. Kuwa Msafi
Vaa vizuri, nukia vizuri, nyoa vizuri, alafu zungumza na toa maneno mazuri kwa lugha yenye sanaa. Mambo hayo huzichota saikolojia za wanawake na kujisikia raha na kuwapa nyege mshindo.

Mwanamke anatakiwa akikusikiliza, akikuona tuu anahisi joto la mwili kupanda, mpaka analowa akitamani kuingiliwa.

B. Msifie
Jaribu kumsifia wakati upo naye, sifa hizo ziambatane na sauti nzuri ya kiume, utani wenye kumfanya ajisikie unampenda na amedata. Ukimsifia mwanamke unamfanya akuamini na azidi kuvutiwa nawe.

C. Mpe uhuru.
i. Usimfanye akuone mgeni. Mpe uhuru, mwambie yeye ni mtundu hata kama siyo mtundu wa majambozi, hii itamfanya ajiamini na kujiona anaweza, na ataongeza manjonjo. Kumbuka kumsifia mwanamke ni moja ya kanuni muhimu ya kumfanya awe huru na kujiona yeye ni mzuri.

ii. Mwambie awe huru kusema vile anavyotaka umfanyie.
Kama anaumia awe huru kusema, kama anataka polepole au haraka awe huru kusema. Mpe uhuru.

Siyo unamshindilia harakaharaka na kwa nguvu ukidhani ndiyo unampa raha, siyo kweli mara nyingi wanawake wanaumia ukifanya harakaharaka na kwa nguvu.

Uchunguzi wangu ulinipa matokeo kuwa wanawake hupenda ufanye polepole au taratibu wakati mnaanza tendo lakini kadiri moto unavyozidi kuwaka na kule ndani kwenye uke kunavyozidi kutepeta na joto la mwili kupanda ndiyo nawe unapandisha kasi kufuatana na biti.

Wanawake wanapenda vile wanakaribia kufika mshindo ndiyo umfanye kwa haraka ili kumfanya atoe kojo la maana.

Yote hayo yanatokana na uhuru utakaompa. Zingatia, mwanamke ni kiumbe ambacho kina aibu. Hivyo jitahidi kadiri uwezavyo awe huru na asiwe na aibu na wewe.

Yaani hakikisha mwanamke kunako 6*6 asiwe na aibu na wewe. Asikuhofie, asikuogope.
Hivyo itakuwa rahisi yeye kufika kileleni hata mara tatu au nne kwa muda mfupi.

D. Dhibiti kukaza na kusinyaa kwa uume/mboo yako.
Mboo inavyozidi kukaza ndivyo unavyokaribia kufika mshindo, hivyo kila mara jitahidi uende mwendo wa pole ikiwezekana mara kwa mara itoe mboo yako ukeni ili ipigwe na upepo kupunguza presha, kisha baada ya sekunde kadhaa irudishe.

Mboo ikiwa haijakaza sana ndiyo wakati wa kuchochea moto ukeni huku ukizivuta hisia za mwanamke. Zingatia kadiri mwanamke anavyoanza kuja mshindo ndivyo uume wako unavyolazimishwa nao kukaza na kutoa shahawa, hivyo unatakiwa kuwa mwangalifu usije ukamwaga kabla ya mwenzako.

Kwa hiyo kama yeye anaongeza kasi na wewe angalia hali ya uume wako kama umekaza sana au umekaza kawaida ili kuzuia usijejikuta unamwaga na kumuacha mwenzako juu. Itapendeza mkiwasiliana, na mawasiliano huletwa na Uuuru utakaompa.

E. Shika maeneo nyeti kadiri ya maelekezo ya mwanamke.
Wakati unafanya tendo hakikisha unashika maeneo yenye msisimko ili kumfanya azidi kuchanganyikiwa na kuja kwa haraka, kadiri ya anavyokuelekeza.

Siyo ujishikie tuu wakati mwingine ukishika sehemu ambayo siyo sahihi unamkata stimu mwenzako. Na unajikuta unaanza tena upya.

F. Chezea kwa ustadi kisimi chake mara kwa mara pale anapotoka mchezoni.
Kisimi ndiyo sehemu pekee ambayo hupaswi kuipuuza hata mara moja.

Kisimi ni kama uume wa mwanamke. Hiyo sehemu ukiweza kucheza nayo vyema basi utakuwa umewashinda wanawake wengi. Zingatia, kisimi ni kiungo laini sana hivyo uchezeaji wake unahitaji ufundi siyo ukiparaze mpaka unakichubua.

Pia kuna muda wa kukishika siyo unakishika muda mwingi kuliko kufanya, kisimi kazi yake ni kuamsha hisia za mwanamke akishakuwa tayari muingilie.

G. Nyoa mavuzi
Usiwe na mavuzi mengi na mkeo naye asiwe na vuga jingi.
Mavuzi yakizidi husababisha kuchana na kuchubua uke wa mwanamke na hii humfanya ajisikie maumivu. Michubuko itamuumiza na kamwe hawezi fika mshindo. Hivyo wote mnyoe mavuzi hayo.

H. Tumieni vyakula vinavyochochea mapambano yenu. Siyo umlishe viporo vya chakula asichokipenda. Kama unataka mechi ya kukata na shoka, halafu mtoto akojoe mpaka umuonee huruma, agiza vyakula vizuri avipendavyo, bahari nzuri watoto wakike hupendelea zaidi protein na vyakula vya mafuta kama chipsi yai na nyama choma au kuku.

Mpe chakula afurahi. Kisha wewe tafuta chakula kitakachoufanya mwili wako uwe katika fomu nzuri.

I. Mikunjo na staili.
Kabla hujaanza mbwembwe za mikunjo na staili hakikisha umeshamkojoza angalau bao moja.

Mikunjo na staili iambatane na mwili wa mwanamke husika.
Zingatia mwanamke anapenda kunyanyaswa hasa mkiwa kitandani lakini siyo umuumize, hapana. Anataka aone unammudu na kumdhibiti, anapenda unavyomhangaisha na kumbinya binya hasa matako yake.

Usimuonee huruma lakini pia usimuumize. Hakikisha awe na uhuru kuwa kama anaumia aseme.

Jambo moja ya uhakika ni kuwa, hakuna muda maalumu wa kumfikisha mwanamke kileleni. Itategemea na siku na siku. Siku nyingine inachukua dakika tano, siku nyingine kumi siku nyingine Saba.

Hivyo usiwe mjinga kujifanya unapiga lisaa lizima ukidhani kufanya masaa mengi ndiyo kumridhisha mwanamke. Nop.

Kumridhisha mwanamke kitandani itategemea na namna unavyojua kucheza na hisia na mwili wake. Hilo tuu. Na kama hauna uzoefu na saikolojia ya hisia na miili ya wanawake basi mbinu ya kumpa uhuru ni muhimu ili aenjoi.

Zingatia pia, hisia na miili ya wanawake inatofautiana. Pia mwanamke anaweza akawa hivi leo lakini kesho asiwe hivyo.
Ndiyo maana uhuru na mawasiliano ni muhimu kwenye dimba la kunyanduana.

Taikon sina la ziada. Pole kwa kusoma andiko refu. Hata hivyo najua umepata chochote kitu.

Nawatakia maandalizi mema ya Sabato.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
 
Burudika na cheza.
Angalau Kwa mwezi mara moja nenda Club kacheze Kwa furaha, cheza hasa usione haya, waambie wakuweke muziki unaoupenda.
Kama sio mtu wa Club au kazi yako haikuruhusu hayo, Cheza hapo nyumbani ukiwa na Mkeo au na watoto. Chezeni kama mmelogwa.
Unarudi nyumbani mwanamke amenuna sura kama mbuzi utaanzia wapi kusema tucheze
 
Screenshot_20221109-110709_Quora.jpg
kkuA vile....😉😉
 
Uzi mzuri Sana huu Kuna la kujifunza hapa.
Hongera zako Taikon Robert
umeona eeh, sasa mimi ninachojua vile mnatusugua ule msuguano ukiwa wa mda mrefu say dakika 10 kwenye kisimi lazma nikojoe, sasa mfano mtu amebakwa na huyo mwanaume anasugua hicho kidude mwanamke hatakojoa?
 
Back
Top Bottom