Huo mkopo umefanya nini?na bado watu wanaendelea kukopaHakuna asiekopa,ila kwa sasa habari za selikari zinazungumziwa zaid kuliko kipindi cha awamu iliopita,hii ni kwa sababu uhuru wa kuzungumza umekuwa huru sana,tofauti na hapo awali
Huo mkopo umefanya nini?na bado watu wanaendelea kukopaHakuna asiekopa,ila kwa sasa habari za selikari zinazungumziwa zaid kuliko kipindi cha awamu iliopita,hii ni kwa sababu uhuru wa kuzungumza umekuwa huru sana,tofauti na hapo awali
Magu ndiye aliyemfunga Mbowe?Acha kujivua nguo mkuu, haya yote ni athari za Jiwe, japo ni ngumu sana kwa wewe kuelewa, jamaa ameleta maafa makubwa sana nchini. Ndiyo maana hata Mungu akaingilia kati kwani bila hivyo taifa kama taifa tungefika pabaya sana. Ukitaka kumjua vizuri Jiwe angalia watu wake wa karibu kama Bashite, Saambaya,Gamboshi, Ndungai, mzee wa jalalani na wengine wengi tu.
Kwani Mbowe kafungwa? Ok tuseme kafungwa kwa dhana yako, hiyo inahusika nini na mada hii?Magu ndiye aliyemfunga Mbowe?
Kiasi gani kitapelekwa znz?Mapema leo nimefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na Dkt. Sidi Ould Tah, Mkurugenzi Mkuu wa @badeabank kujadili namna ya kuharakisha upatikanaji wa fedha za mkopo nafuu na msaada Dola Bilioni 3 sawa na takribani Shilingi Trilioni 7.
Benki ya BADEA iliahidi kuipatia Tanzania mkopo huu wa masharti nafuu (soft loan) katika kipindi cha miaka mitano ijayo, zitakazotumika kwenye miradi ya maendeleo sambamba na kuiwezesha sekta binafsi.
View attachment 2077645
Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nisamehe sana 🙏🏽Sisi wa kukopa sisi kweli? Ni lini tutatumia pesa zetu kufanyaa maendeleo? Ipo siku nchi itapigwa mnada- ndugai
Raia ndio watakamuliwa kulipa mwisho wa siku....Acha wakope bhana....hata hiyo Zanzibar ni sehemu ya Tz.
Huwezi kubaki unategemea vikodi vya kipuuzi kwa watu maskini,unaua uchumi wao na kuzidi kulididimiza Taifa.HONGERA SANA MH.MWIGULU,PESA HIZI ZITAHARAKISHA MAENDELEO YETU KWA HARAKA NA UPO WAKATI HATUTAHITAJI TENA MIKOPO MIKUBWA HIVYO TUTAKUWA TUNALIPA TU MADENI HUKU MIRADI HUSIKA IKISAIDIA KULIPA MADENI,
N.B,wapo watu wanaogapa kweli mikopo hii ya kiserekali kana kwamba baba zao na mama zao ndio watalipishwa.
Hivyo vyote bila kubi unlock na kuvijengea mazingira ya kutupa pesa vinakua ni useless.Unashangaa nini joh?! MITO ,BAHARA,. MAZIWA, MBUGA, MILIMA, MADINI, UTALII.etc.. VYOTE VIMESHINDWA KUTUPA PESA... sa tufanyeje?!
Hujaona ulichofanya? Pole Sana kwa chuki.Huo mkopo umefanya nini?na bado watu wanaendelea kukopa
Ulitaka alipe nani? Hapo Dar mnapofurahia BRT unadhani ni pesa ya madafu hiyo? Ni mkopo ndio hivyo hata sisi wa mikoani tunawalipia.Raia ndio watakamuliwa kulipa mwisho wa siku.
Til.1Kiasi gani kitapelekwa znz?
Hiyo inafanyika kote,kwa mfano unawekeza afu matarajio hayajafikia lazima utumie mkopo kulipa.Kukopa kupo ila matumizi ya mikopo ndio shida…ukikopa bila kuzalisha mkopo utarudije..ndio hichi tunachokishuhudia hapa sasa tunakopa tena ili tulipe mikopo…tutatoboa
magu alikopa lakini hakukuwa na tozoNdungai ni mtu wa kupuuzwa, uzuri ameshapuuzwa tayari. Magu alikopa alivyojisikia na yeye ndiyo kwanza akaja na ile kauli yake ya atake asitake.......
Mungu alipokasirika juu ya uovu wake na kumuondosha akaacha deni kubwa kwa Taifa. Sasa ndiyo tunalipamagu alikopa lakini hakukuwa na tozo
Acha kujivua nguo mkuu, haya yote ni athari za Jiwe, japo ni ngumu sana kwa wewe kuelewa, jamaa ameleta maafa makubwa sana nchini. Ndiyo maana hata Mungu akaingilia kati kwani bila hivyo taifa kama taifa tungefika pabaya sana. Ukitaka kumjua vizuri Jiwe angalia watu wake wa karibu kama Bashite, Saambaya,Gamboshi, Ndungai, mzee wa jalalani na wengine wengi tu.
Mkuu siyo kila kitu ni kwa kila mtu, kama hujaelewa jua siyo level yako. Level zingine ni kwa IQ kubwa na siyo kama yako.Yani umeongea ujinga wa jumla sio rejareja.
Taifa lingefika pabaya kivipi, nahao unaowataja wanahusiana nini na mikopo, huyo bashite alisha wekwa nje sa system na magu.
Unaacha kutoa hoja ya kujadili hali ya sasa unachanganya changanya maneno yasiyo eleweka.