Mradi wa njia 8 ulikuwa umefika kama 92 lakini mpaka sasa unasuasua tuHakuacha pesa ya miradi hiyo, huyu alikuta inaendelea ama imesimama sababu hakuna hela?! Kama ilikuwa ikiendelea, Walikuwa wanaendelea bila pesa?? Fikiri kabla ya kusemasema.
Sent using Jamii Forums mobile app