Uko sahihi kabisa! Hii biashara kwa sasa imepooza ukilinganisha na zamani.Biashara za Mobile money zinakufa kila kukicha. Ajira zinapotea. Huku Luku huku mafuta. Mafuta yamepandisha na yanaendelea kupandisha gharama za maisha. We will soon collapse kama tusipokuwa makini. Nyie mdanganyeni tu Mama. By the way, tozo zilikuwepo kabla hata ya Mama na vituo vya afya vilijengwa.
Mzee tunakomeshwa balaaBiashara za Mobile money zinakufa kila kukicha. Ajira zinapotea. Huku Luku huku mafuta. Mafuta yamepandisha na yanaendelea kupandisha gharama za maisha. We will soon collapse kama tusipokuwa makini. Nyie mdanganyeni tu Mama. By the way, tozo zilikuwepo kabla hata ya Mama na vituo vya afya vilijengwa.
Zife tuu ila tozo ziwepo palepaleBiashara za Mobile money zinakufa kila kukicha. Ajira zinapotea. Huku Luku huku mafuta. Mafuta yamepandisha na yanaendelea kupandisha gharama za maisha. We will soon collapse kama tusipokuwa makini. Nyie mdanganyeni tu Mama. By the way, tozo zilikuwepo kabla hata ya Mama na vituo vya afya vilijengwa.
Kawaida..Ila mama Samia anaupiga mwingi Sana
wananchi wamemchapa kofi la uso. kwa miezi miwili 63bil ilhali katika hotuba alitamba kuwa atapata 12tr kwa mwaka yaani kila mwezi 1trToka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa.
Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania tutembee kifua mbele kwa kujenga nchi yetu wenyewe. - Taarifa hii imetolewa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Mwigulu Lameck Nchemba "Madelu".
Bwanku M Bwanku
View attachment 1919364
Hivi tatizo ni majengo au huduma bora? Hapa nilipo kuna hospitali ya wilaya na ya tarafa lakini ukienda kupata huduma unaambiwa hakuna dawa, unaambiwa dawa kanunuwe pale!Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa.
Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania tutembee kifua mbele kwa kujenga nchi yetu wenyewe. - Taarifa hii imetolewa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Mwigulu Lameck Nchemba "Madelu".
Bwanku M Bwanku
View attachment 1919364