Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Magufuli kama kweli yuko siriaz kutumbua majipu atawamaliza wote na atajikuta kabaki peke yake.. Maana CCM yote ni jipu.. Ukoo wa panya huo.. Baba mwizi.. Mtoto naye mwiziiii
hahahahahaha umtumbue mtu jipu kwa ushahidi wa mange kimambi, mropokaji namba moja. mwisho wa ubaya aibu!!!!!! naomba kuuliza hivi mange anashida gani na january maana amekua kama kupe kutaka kumzushia zushia uwongo kila wakati,
 
Hapa kwa vile mtuhumiwa ni JM ni wachache watajiuliza authenticity ya taarifa.
Hata hivyo mara nyingi hata uongo huambatana na kiasi fulani cha ukweli...
 
Ivi uhalisia wa hii habar ni nin hasa? Hiyo sauti unawezaje kuprove kwamba ni sauti ya mwamvita? Tuliwahi kuwekewa humu video yenye sauti kama ya rwakatare mwisho wa siku rwakatare alishinda kesi na video na sauti vipo hadi leo..!! Nauliza tu uhalisia wa hii habari ni nin?
Bila shaka ni vita vya panzi
 
Kikubwa ninachoshindwa kuelewa kwenye hili ni inakuaje watu waliokua wakimtukana Mange wakimuita hana akili, wakimtukana kila aina ya tusi chini ya jua hili leo wanamuona kua ni mtu jasiri anaetetea nchi na mwenye upendo wa dhati? Miezi michahe mlikua mkimtukana kwa vile tu alikua akiandika ubaya wa upande wao, lakini leo kwa vile anaandika mabaya ya upande mwingine, mabaya ya mtu wasiye mpenda, mtu wanayeona anawanyima riziki basi watamsifu Mange kwa mapambi na shangwe za kila aina. Nadhani wewe unaeshabikia wakati ulikua ukimdharau upimwe akili, usimuamini muongo hata akisema ukweli.
 
Leo mnamuona Mange kichaa!! Alivyokuwa anamtukana Lowasa alikuwa timamu?? Vumilieni MWIBA UNATOLEWA SEHEMU ULIPOIINGILIA
 
hahahahahaha umtumbue mtu jipu kwa ushahidi wa mange kimambi, mropokaji namba moja. mwisho wa ubaya aibu!!!!!! naomba kuuliza hivi mange anashida gani na january maana amekua kama kupe kutaka kumzushia zushia uwongo kila wakati,
Lakini tusiite uzushi maana january hajaja kukanusha wala fb hajakanusha waswahili walisema lisemwalo lipo kama halipo litanakuja..
 
Maaamae.....
Ngoja niende mahali kwanza nisikilize....
 
Mtu aliyekuwa Katibu Binafsi wa Kikwete. Makamba Kwa Kikwete alikuwa ni Kama Alivyokuwa Mh. Mkapa kwa Mwalimu Nyerere. Msaidizi wa Karibu. (He can be of very big influence!)

Hii issue inaendeshwa kimajungu bila kuzingatia facts. Jaribu kusoma proposal ya mradi wa bandari ya Bagamoyo naamini ipo humu JF. Contractor wa hii bandari ilikua ni sharti atoke China since mkopo wa ujenzi unatoka China.

Over 100bill dollars zinahitajika kwa huu mradi, hizi pesa zinazotajwa hapa sijui 1mil ni pesa ndogo sana kulinganisha na mradi husika. Siwatetei Makamba ila huyu atakua ni mfanyabiashara bogus kuliko wote duniani na bora kaingizwa mjini kwa upopoma wake kama ni kweli.

Kuna taratibu za kufuata kutoa malalamiko au kudai haki yako, sitegemei kampuni iliyotaka tenda ya ujenzi wa bandari iende kupeleka malalamiko yake instagram au kwa socialite fulani mwenye umaarufu kwa mambo ya kipuuuzi ili ayafikishe sehemu husika. Hii ni too low kuamini
 
Mkuu umeshindwa kuelewa huyu Mtaliano kaliwa fedha zake kwa ahadi ya kupewa mradi wa Bagamoyo au hata hilo umeshindwa kuelewa.

sielewi kwa sababu alie recodi hio clip kamtafuta m-Nigeria kurekodi..wataliano hawaongei hivo hata siku moja....
na dunia nzima inaelewa Bagamoyo ni initiative ya chinese goverment alipokuja rais wao hapa...
na hii ni project kubwa ya multi billion ..sio deal ya kununua korosho kuwa unafanya lobying ya kitoto.
hapa tuna zungumzia Companies ndio zinaweza kufanya deal sio mtaliano/mnigeria kujirikodi au mkenya au mbogo....

kampuni hufanya lobbying kwa deal kama hizi sio wahuni wa barabarani...
mbona anashindwa kumtaja jina la huyo sinyore mafia wa Roma ? anatoka kampuni gani? wacheni kuwa akili ndogo kama hivi mnakua down kabisa.
kuna watu wanamuangalia makamba kama next president..hivo wameamua kumpaka matope..na wengine wanafata mkumbo
 
Katika hili la Makamba ngoja nikae kimya kwanza..
 
Nchi imekwishaa sasa! ......

Hivi tutoe wapi roho kama za wamisri wakuu.....

Tunaanza vurugu mtaa kwa mtaa kutoa haya mafisadi......
 
Kumbe tuna wataalamu wa sauti humu. Mimi sio mtaalamu wa sauti. Lakini Makamba lazima ajioneshe bila shaka kutohusika.

wala hana haja ya kukanusha ujinga wa kitoto kama huu ..anawadharau tu kwa ushamba wenu
last time walikuja na vikatuni kutaka kumchongea..akavi crash kabisa na waloleta hoja ya vikatuni vile wakaonekana kama wajinga fulani hivi
 
Kuna voice notes za jamaa na mwamvita eti alitaka dili la bandari ya Bagamoyo!! Bwahahaaa haaa!! Sasa kipara makrega ana tofauti gani na kina papaa msofe??
Hahaa umenkumbusha mbali sana...kipara makrega
 
Akipgwa Chini Uwaziri Makamba Ntatembea Uchi Jf Nzima
 
tulishasema tangu zamani , ukishakosa uaminifu kwenye jambo dogo la mitihani , kubwa huliwezi , mnaona sasa ?
 
Back
Top Bottom