Waziri January Makamba ajibu tuhuma dhidi yake

Waziri January Makamba ajibu tuhuma dhidi yake

Hahahaha aiseee Pedestrian politicians wana kazi sana , ngoma ndio kwanza imeanza kumbe jamaa kafadhili na miradi bumbuli na hela kweli amezipokea Makamba kupitia kwa dada yake
Halafu Mzungu mwenyewe yupo hapo Hyatt basi patamu hapa
 
Weka imani kwa Lowasa achana na magufuli.
Unajua kalibaki kaimani kidogo kama haradari lakini siku zinavyozidi kwenda naona karibu nitakuwa simyiti tena Rais...Kutukana na kauli yake Alishindwa na Mafisadi asiitwe Rais,naona Mafisadi wapo kibao kwenye miavuli yake
 
Back
Top Bottom