Watoto wanaokuja nyumbani na vitu vya kuokota (Pesa, Midoli, Mipira,). Je, ni sahihi kwa wazazi kuruhusu tabia hii?

Inategemeana na kiwango cha hela alichookota...akiokota mia au mia mbili anapaswa kukalipiwa na kuzitupa hizo hela. Akiokota kuanzia elfu 10+ anapaswa kupongezwa kwa kuwa na bahati nzuri!
Hakika wewe ni mzazi wa aina yake
 
Enzi za udogo wangu nilikuwa machachari Sanaa,japo wazazi walikuwa wakali Ila haikusaidia,tulikuwa yunaokota Nazi zimeandikwa kuruani si tunapasua na kulaa hatujali maandishi,mayai yalio andikwa kuruani yunaokota tuna ya kaanga kitu pwani!Kuna siku niliokota misilivya kibao chini ya m buyuuu mzee nikaenda kuwa doni shuleni..ikawa kila ijumaa jioni naenda kwenye ule m buyuuu nakusanya mapato yangu.....nahakikaa kakunizuru kwa sababu sikua najua
 
Enzi za udogo wangu nilikuwa machachari Sanaa,japo wazazi walikuwa wakali Ila haikusaidia,tulikuwa yunaokota Nazi zimeandikwa kuruani si tunapasua na kulaa hatujali maandishi,mayai yalio andikwa kuruani yunaokota tuna ya kaanga kitu pwani!
Daaah noma sana mkuu...
 
Nikiwa mdogo niliwahi kusimuliwa hadithi na mama yangu ambayo inatokana na mchezo wa redio. Enzi hizo RTD.
Kijana aliyefahamika kwa jina la Kizibo alihukumiwa kunyongwa kwa makosa ya wizi,u nyanganyi na kudhuru ili aibe.
Kabla ya hukumu kutekelezwa aliomba aje mama yake mzazi ili kumpa neno la mwisho.
Kizibo alimwambia mama asogee ili kumnong'oneza, kilichofanyika ni kumng'ata sikio na kutoa kipande kisha kumpa unumbe kuwa umekuwa chanzo cha haya yote na hii ndiyo zawadi yako kwa kutonikanya.
 
Huko wanakoziokota pesa ni wapi, itabidi nikusanye na majirani atufundishe na sisi tukaziokote, huenda wazazi wake wapo kwenye wrong profession
 
Tena ni zawadi ya milele kwa maana alama itabaki sikioni miaka nenda rudi
 
Huko wanakoziokota pesa ni wapi, itabidi nikusanye na majirani atufundishe na sisi tukaziokote, huenda wazazi wake wapo kwenye wrong profession
Wrong profession ila watoto wapo katika right professions za kuokota pesa za burebure/dezodezo.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom