Watoto wanaokuja nyumbani na vitu vya kuokota (Pesa, Midoli, Mipira,). Je, ni sahihi kwa wazazi kuruhusu tabia hii?

Akija na uja uzito uwe unampongeza kama anavyokuja na fedha, wala usitake kujua ni wa nani
Kuna wazazi wana mambo ya ajabu sana mkuu. Yaaani unakuta mtoto mdogo anajiuza na kuja na pesa nyumbani lakini wala hawahoji
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom