Enyi Wazazi kuweni makini katika Malezi ya watoto wenu

cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
85,759
137,491
Habari zenu?!

Leo nilikwenda sehemu kumtembelea rafiki angu ambaye nilisoma nae primary, sasa nilivyofika pale kwao, ile kunikaribisha, nkakuta watu wanaongea kana kwamba kuna tukio la kusikitisha kidogo, mie nikawasalimu afu tukatoka nje tukawaacha wao ndani wanaendelea na mazungumzo yao.

Baadae m1 wa wale watu akaaga kuondoka, ndipo huyu mwenyeji wangu akaanza kunisimulia kilichokua kinajadiliwa pale,

Ni hivi kuna familia ni ya mtaani kwao pale, wazazi ni wafanya kazi wa serikali, baba anafanya kazi kanda ya kati, ila mama ndo yupo hapa mjini na familia, hiyo familia ina watoto 5, kike 3 ambao ndo wakubwa, afu kiume 2 ndo wadogo yaan wazaliwa wa mwishoni, sasa huyu mtoto wa mwisho wa kiume, ndo muhusika wa huu uzi, huyu mtoto kwa nilivyohoji mie wameshindwa kunitibitishia km ni alizaliwa na matatizo ya homoni, au makuzi yake ndo yalikua hivyo, ila tangu mdogo alikua km wa kike, yaan mienendo, marafiki, michezo, etc kiujumla alikua km mtoto wa kike.

Maisha yakaendelea akakua hivyo hivyo hadi sasa hivi yuko Kidato cha 3 shule binafsi huko Iringa, kilichotokea ni kuwa huyu mtoto alimtongoza rafiki wa kaka ake, maana kaka ake ni graduate wa chuo, means kwamba huyu mtoto anajihusisha na mapenzi ya jinsia 1 (ushoga), nilihoji alimtongoza kwa njia ipi? Km kwa namba alipataje? Km ni mtandaoni je hawakua wanajua km huyu mtoto ana Cm? Lakini nkasema inawezekana alitumia utambulisho fake huko mtandaono etc.

Sasa baada ya kumtongoza huyo rafiki wa kaka ake, ndipo huyu rafiki akaamua kumueleza mwenzie ukweli kuhusu mdogo wake, kaka alihamaki maana hawakua wanajua km huyo mtoto yupo ktk tabia ya ushoga, na hata kumiliki cm pia. Kaka akaamua afanye jambo ili wamkamte kwa ushahidi huyu mtoto, akamweleza rafiki ake kuwa akubaliane nae afu afanye mpango wa kumtoa dogo shule km kumtorosha ili wafanye hicho anachokitaka, rafiki anajua namna gani yeye alimpanga huyu mtoto, ndipo mtoto aliposingizia shule kuwa ni mgonjwa tena serious na akaruhusiwa kurudi nyumbani, kumbe hakua mgonjwa alikua anataka akutane na huyo rafiki wa kaka ake.

Akafika nyumbani ikiwa anaonesha ni mgonjwa na akapelekwa hospital ikaonekana hana tatizo lolote la Afya, ila akapewa dawa na kuruhusiwa apumzike nyumbani, haya yote yanafanyika kaka anajua kila kitu, ila akawa kimya tyuuh.

Siku ya 3 baada ya kuwa pale nyumbani, rafiki akampanga yule mtoto ili wakutane, ndipo mtoto akawa anasoma mazingira ya pale nyumbani na kutoroka, huku akiwaacha kaka na housemaid pale home, asijue mchezo wote kaka ana ufahamu, baada ya kufika sehemu waliyopanga kukutana wakawa wanapiga story, kumbe rafiki akamshtua mwenzie aje pale maeneo, ndipo ghafla kaka akatokea pale mara 1 kaka akawahi kumpora cm mtoto, kumbe mtoto ana smartphone na wazazi / ndugu hawajui.

Pale pale kaka na rafiki wakatoka na mtoto hadi nyumbani, baadae rafiki akarudi kwake, kaka akapiga cm kwa baba afanye aje mjini kuna dharura na muhimu mno na asikose yaan afanye vyovyote hiyo siku afike pale home, baba akapiga cm kwa mama, mama anashangaa mbna hakuna tatizo, mama kumcheki kaka akaamuambia tatizo lipo ila had baba awepo na leo hii hii, maana wakati huo mama alikua kazini, na ilikua ni mchana.

Baba akaanza safari mchana huo kutoka kanda ya kati hadi mjini, alifika usiku, akakuta familia ipo inamsubiri, ndipo kaka akatoa smartphone ya mtoto, na kueleza mwanzo mwisho wa scenario ilivyo, ndipo pia housemaid akasema yeye alikua anajua tabia ya huyo mtoto kwani alishakua na mahusiano na kijana dereva bajaji wao, hiyo bajaji ni ya wazazi, na alikua anafanya kwa mkataba, na alishamalizana nao mda tyuuh, mama akaanza kuangua kilio, baba akawa analazimisha mtoto atoe password ya cm, mtoto anagoma, ndipo kwa hasira akaanza mshushia kipigo had ikapelekea kupoteza fahamu na akapelekwa hospital na fahamu alipatia huko huku akiwa anapata matibabu.

Kwangu binafsi nimeumia sanaa tena mno, na ndo kilichofanya nilete huu uzi, kilichoniumiza zaidi ni jinsi namna walivyo react hawa watu wanao mzunguka huyu mtoto, sidhani na ninaamini hawako sahihi hasa baba kwa kitendo cha kumpiga mtoto hadi kupoteza fahamu, je angepoteza maisha jumlaa? yeye baba angekua ktk hali gani sahivi? Najua alikua na maumivu makubwa mnoo na yasiyovumilika ila alipaswa atumie busara na hekima kusolve hili jambo, na sio kutumia hasira km hivyo alivyofanya.

Lawama zangu zote nazitupa kwa wazazi na ndugu, yaan dada na kaka, mtoto wa kiume aidha kazaliwa na matatizo ya homoni au kakua na hulka ya kike hasa akiwa mdogo anapaswaa kuwa ktk uangalizi mkubwa mnoo, sababu huyu mtu kuanguka ktk ushoga ni rahisi mnoo, sisemi kuwa kila mwenye matatizo ya homoni au hulka ya kike ni shoga, la hasha ila possibility ya kuwa ktk tabia hiyo iko karibu zaidi.

Ninaamini huyu mtoto alikosa malezi na ungalizi sahihi, ndo maana hawakua wanajua km ana miliki cm, au yuko kwenye mahusiano na mfanyakazi wao, yaan housemaid anamjua mtoto kiundani kuliko wee mzazi, mbna ni tatizo hilo, ninafahamu mtoto anaweza ficha jambo na mzazi usijue ila sio kwa stage hii, je huyu rafiki asingetoa ukweli kwa kaka? Au angeamua kupotezea tyuuh? Au angemkubali na kumtumia km kawaida? Wangejuaje au wangefahamu vipi?

Mzazi au ndugu unachukua hatua mwishoni na kuona una tatua tatizo, kwann hapo mwanzo hukuzuia utokeaji wa hilo? Na dalili zilishaonekana wazi kabisaa? Na njia inayotumika sio sahihi pia kutokana na tatizo lenyewee,

Rai yangu kwa wazazi, walezi, na ndugu ikiwa una mtoto au mlei wa kiume ambaye ana matatizo ya homoni kwa kuzaliwa au kuwa na hulka ya kike tangu anapokua mdogo chukua tahadhari mapema na uwe makini ktk kuhakikisha anae puka kuanguka ktk tabia hii ya ushoga, km kuja kuharibika aharibike akiwa mkubwa maana yatakua matakwa na maamuzi yake binafsi. Na ninapenda kuwahusia kitu mtoto wa aina hiyo deal na akili yake, yaan cheza na midset na fikra zake, hakikisha unamlisha ubongo akili ya kujua na kuona hiyo tabia ni mbayaa na hatarishiii na haifaii pia.

Nasikia sasa hivi kuna sindano na tiba ya matatizo ya homoni, ipo hapa katika hospital zetu hapa nchini, naona inaweza kuwa suluhisho pia, ila nasikia gharama ghali sana, pia muda mwingine haiwezi kutatua tatizo, maama zamani ilikua ni Nairobi pekee kwa East Africa.

Niwatakie malezi mema na bora kwa watoto na walei wenu..
....
 
IMG-20240119-WA0520.jpg
 
Inasikitisha Sana.

Wazazi Usikubali Utandawazi Utawale Maisha Ya Familia, Tunajisahau Kwa Kutoa Excuse Ya Kubanwa Na Majukumu Ya Kila Siku Na Kusahau Familia.

Angalia Wazazi Wako Walivyokulea Jitahidi Ku-deliver Hata 70% Ya Malezi Kutoka Kwa Wazee Wetu Japo Utaitwa Mkoloni Ila Hakikisha Familia Inakuwa Imara Kwenye Mahadili Ya Kiafrika & Tanzania
 
Duuh hatari sana baba huwa anaumia mpaka anashindwa kujizuia
Baba anaumia mbna hakufanya namna yoyote kuzuia mtoto huyu kuangukia ktk tabia ya ushoga? Angekua hakuonesha dalili sawa, indicators zilionekana wazi.

Ndo huwa wanasema "akikua ataacha au akikua atabadilika" km huweki msingi ya kumbadilisha haachi na hatobadilika.
 
Habari zenu?!

Leo nilikwenda sehemu kumtembelea rafiki angu ambaye nilisoma nae primary, sasa nilivyofika pale kwao, ile kunikaribisha, nkakuta watu wanaongea kana kwamba kuna tukio la kusikitisha kidogo, mie nikawasalimu afu tukatoka nje tukawaacha wao ndani wanaendelea na mazungumzo yao.

Baadae m1 wa wale watu akaaga kuondoka, ndipo huyu mwenyeji wangu akaanza kunisimulia kilichokua kinajadiliwa pale,

Ni hivi kuna familia ni ya mtaani kwao pale, wazazi ni wafanya kazi wa serikali, baba anafanya kazi kanda ya kati, ila mama ndo yupo hapa mjini na familia, hiyo familia ina watoto 5, kike 3 ambao ndo wakubwa, afu kiume 2 ndo wadogo yaan wazaliwa wa mwishoni, sasa huyu mtoto wa mwisho wa kiume, ndo muhusika wa huu uzi, huyu mtoto kwa nilivyohoji mie wameshindwa kunitibitishia km ni alizaliwa na matatizo ya homoni, au makuzi yake ndo yalikua hivyo, ila tangu mdogo alikua km wa kike, yaan mienendo, marafiki, michezo, etc kiujumla alikua km mtoto wa kike.

Maisha yakaendelea akakua hivyo hivyo hadi sasa hivi yuko Kidato cha 3 shule binafsi huko Iringa, kilichotokea ni kuwa huyu mtoto alimtongoza rafiki wa kaka ake, maana kaka ake ni graduate wa chuo, means kwamba huyu mtoto anajihusisha na mapenzi ya jinsia 1 (ushoga), nilihoji alimtongoza kwa njia ipi? Km kwa namba alipataje? Km ni mtandaoni je hawakua wanajua km huyu mtoto ana Cm? Lakini nkasema inawezekana alitumia utambulisho fake huko mtandaono etc.

Sasa baada ya kumtongoza huyo rafiki wa kaka ake, ndipo huyu rafiki akaamua kumueleza mwenzie ukweli kuhusu mdogo wake, kaka alihamaki maana hawakua wanajua km huyo mtoto yupo ktk tabia ya ushoga, na hata kumiliki cm pia. Kaka akaamua afanye jambo ili wamkamte kwa ushahidi huyu mtoto, akamweleza rafiki ake kuwa akubaliane nae afu afanye mpango wa kumtoa dogo shule km kumtorosha ili wafanye hicho anachokitaka, rafiki anajua namna gani yeye alimpanga huyu mtoto, ndipo mtoto aliposingizia shule kuwa ni mgonjwa tena serious na akaruhusiwa kurudi nyumbani, kumbe hakua mgonjwa alikua anataka akutane na huyo rafiki wa kaka ake.

Akafika nyumbani ikiwa anaonesha ni mgonjwa na akapelekwa hospital ikaonekana hana tatizo lolote la Afya, ila akapewa dawa na kuruhusiwa apumzike nyumbani, haya yote yanafanyika kaka anajua kila kitu, ila akawa kimya tyuuh.

Siku ya 3 baada ya kuwa pale nyumbani, rafiki akampanga yule mtoto ili wakutane, ndipo mtoto akawa anasoma mazingira ya pale nyumbani na kutoroka, huku akiwaacha kaka na housemaid pale home, asijue mchezo wote kaka ana ufahamu, baada ya kufika sehemu waliyopanga kukutana wakawa wanapiga story, kumbe rafiki akamshtua mwenzie aje pale maeneo, ndipo ghafla kaka akatokea pale mara 1 kaka akawahi kumpora cm mtoto, kumbe mtoto ana smartphone na wazazi / ndugu hawajui.

Pale pale kaka na rafiki wakatoka na mtoto hadi nyumbani, baadae rafiki akarudi kwake, kaka akapiga cm kwa baba afanye aje mjini kuna dharura na muhimu mno na asikose yaan afanye vyovyote hiyo siku afike pale home, baba akapiga cm kwa mama, mama anashangaa mbna hakuna tatizo, mama kumcheki kaka akaamuambia tatizo lipo ila had baba awepo na leo hii hii, maana wakati huo mama alikua kazini, na ilikua ni mchana.

Baba akaanza safari mchana huo kutoka kanda ya kati hadi mjini, alifika usiku, akakuta familia ipo inamsubiri, ndipo kaka akatoa smartphone ya mtoto, na kueleza mwanzo mwisho wa scenario ilivyo, ndipo pia housemaid akasema yeye alikua anajua tabia ya huyo mtoto kwani alishakua na mahusiano na kijana dereva bajaji wao, hiyo bajaji ni ya wazazi, na alikua anafanya kwa mkataba, na alishamalizana nao mda tyuuh, mama akaanza kuangua kilio, baba akawa analazimisha mtoto atoe password ya cm, mtoto anagoma, ndipo kwa hasira akaanza mshushia kipigo had ikapelekea kupoteza fahamu na akapelekwa hospital na fahamu alipatia huko huku akiwa anapata matibabu.

Kwangu binafsi nimeumia sanaa tena mno, na ndo kilichofanya nilete huu uzi, kilichoniumiza zaidi ni jinsi namna walivyo react hawa watu wanao mzunguka huyu mtoto, sidhani na ninaamini hawako sahihi hasa baba kwa kitendo cha kumpiga mtoto hadi kupoteza fahamu, je angepoteza maisha jumlaa? yeye baba angekua ktk hali gani sahivi? Najua alikua na maumivu makubwa mnoo na yasiyovumilika ila alipaswa atumie busara na hekima kusolve hili jambo, na sio kutumia hasira km hivyo alivyofanya.

Lawama zangu zote nazitupa kwa wazazi na ndugu, yaan dada na kaka, mtoto wa kiume aidha kazaliwa na matatizo ya homoni au kakua na hulka ya kike hasa akiwa mdogo anapaswaa kuwa ktk uangalizi mkubwa mnoo, sababu huyu mtu kuanguka ktk ushoga ni rahisi mnoo, sisemi kuwa kila mwenye matatizo ya homoni au hulka ya kike ni shoga, la hasha ila possibility ya kuwa ktk tabia hiyo iko karibu zaidi.

Ninaamini huyu mtoto alikosa malezi na ungalizi sahihi, ndo maana hawakua wanajua km ana miliki cm, au yuko kwenye mahusiano na mfanyakazi wao, yaan housemaid anamjua mtoto kiundani kuliko wee mzazi, mbna ni tatizo hilo, ninafahamu mtoto anaweza ficha jambo na mzazi usijue ila sio kwa stage hii, je huyu rafiki asingetoa ukweli kwa kaka? Au angeamua kupotezea tyuuh? Au angemkubali na kumtumia km kawaida? Wangejuaje au wangefahamu vipi?

Mzazi au ndugu unachukua hatua mwishoni na kuona una tatua tatizo, kwann hapo mwanzo hukuzuia utokeaji wa hilo? Na dalili zilishaonekana wazi kabisaa? Na njia inayotumika sio sahihi pia kutokana na tatizo lenyewee,

Rai yangu kwa wazazi, walezi, na ndugu ikiwa una mtoto au mlei wa kiume ambaye ana matatizo ya homoni kwa kuzaliwa au kuwa na hulka ya kike tangu anapokua mdogo chukua tahadhari mapema na uwe makini ktk kuhakikisha anae puka kuanguka ktk tabia hii ya ushoga, km kuja kuharibika aharibike akiwa mkubwa maana yatakua matakwa na maamuzi yake binafsi. Na ninapenda kuwahusia kitu mtoto wa aina hiyo deal na akili yake, yaan cheza na midset na fikra zake, hakikisha unamlisha ubongo akili ya kujua na kuona hiyo tabia ni mbayaa na hatarishiii na haifaii pia.

Nasikia sasa hivi kuna sindano na tiba ya matatizo ya homoni, ipo hapa ktk hospital zetu hapa nchini, naona inaweza kuwa suluhisho pia, ila nasikia gharama ghali sana, pia muda mwingine haiwezi kutatua tatizo, maama zamani ilikua ni Nairobi pekee kwa East Africa.

Niwatakie malezi mema na bora kwa watoto na walei wenu..
....

Kwani wewe ulikosa malezi Bora? Au hukupata uangalizi wa kutosha?..
 
Back
Top Bottom